Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Asante sana mkuu
Ukweli kuhusu huyu mdada kutumia hii kitu nimewahi kusikia muda sana nadhani zaidi ya mwaka.
Ila kwakuwa ana pesa anatumia ule wa daraja la juu ni ngumu kumgundua kwa sasa,akianza kufulia tu ndipo ukweli utakapodhihiri.
Mbona ni wengi tu?Hata Wema nae yupo ktk list,ni kiasi cha muda tu mkuu.
You are a living legend.
 
Jamani yeye sio tester na wala hajawahi tumia. Na hilo mnalomuombea halitompata
Sasa vp tena mbona kaongezwa katika list??? inaonekana ulikua unamtetea kishabiki mtu ambae humjui hata chembe! au unamjua halafu unajaribu kujidanganya kwa kumtetea.
 
Yawezekana ikawa kwel manake hyo alienae aliwahi kujitamba kuwa alianza kushika m100 zake akiwa na miaka 22 ila nilipata mashaka sana
 
akiimba mziki huwa nahisi ubongo wake umetulia. ila ukimuweka one to one interview, huwa sielewi kama ubongo wake upo mguuni au usoni. anasambaratika, anajifanya mmarekani, anajifanya amesoma kenya halafu anaongea kama mtu ambaye hana elimu kichwani kabisa, anajifanya yuko juuuuuuuu halafu hana point kabisa. hata kina dangote wasioenda shule huwa wanaongea mambo yenye akili na point sana, yeye hana point kama le mwiliz. alihojiwa siku moja na kituo cha tv kenya, anatia aibu tu, kwa umri wake haongei point, kama mlevi...ni kama mtu mwenye mapepeeeeeee na mwenye akili isiyotulia. hivyo hata kama havuti, hakika mimi wakisema anavuta hata kama sio kweli, ninaweza kuamini asilimia tisini. mapepe yale sio ya mtu mwenye akili ya kawaida....na kujifanya mmarekani. sijui hana washauri au ni pepe liko ndani yake hajipendei ? sijui ni nini? hatamanishi kusikiliza kabisa akiwa kwenye interview.

We itakua kingereza kinakusumbua [emoji23][emoji23][emoji23]mtafute rasi simba
 
Wasanii waliokuwa vioo vya jamii ni wakina msondo ngoma,les wanyika, ila hawa wanaotumia vidonge vya majira akili ziko kwenye kwapa zao ni wajinga wala sioni kama wanafunza jamii lolote zaidi ya kuangamiza jamii.

Tena nawaombea wasiache unga wazidi kuteketea kama mabua kwenye moto.

"MNAJIONA WA MBELE KUMBE UMEZALIWA HAPA MAKUYUNI YA NINI KUIGA VITU VYA KIJINGA"

"VIJITU VYENYEWE HAVINA WATOTO HATA WAKIJAKUONDOKA TUWE TUNAWAONA TUNAWAKUMBUKA ILA VINAVUNGA NI VYA USA KUMBE NI VYA NGUDU"

Samahani kama nimekera mtu NAUMIA SANA NA HUU UZUNGU WAO HAWA WANAOJIITA WASANII
 
kama yy anatumia kunauwezekano na yule mwingine akawamtumiaji
 
Vanessa ninaye mjua hatumii..
Period
Wanao manage wasanii tanzania asilimia 80% wanawatumia kama punda kubeba mizigo so anaweza akawa hatumii ila anabeba nani alijua ngwea alikuwa anabeba si mpaka kimenuka,na ukibeba kunauwezekano wa kuonja hata ukiwa pekeyako hakuoni mtu.ila unga haujifichi tutajua
 
nilisikia na Ben paul pia ...naomba isiwe kweli
Ben po alishauriwa ila alikuwa muoga nlibahatika kupata story kwamtu wake wa karibu akanambia analalamika anafanya mziki mzuri na unasikika ila mafanikio si kama wengine alivyofatilia akaambiwa mchongo sembe ila alikataa nahisi anajishauri ila anajua mchongo.tuwaangalie sana hawa wanao hiti maana naskia ukikataa dili ba mzik kushney.
 
Back
Top Bottom