Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Lisemwalo Lipo ngoja tuone mambo yatakavyokwenda Kwa Vanessa ila siaminiamini kabisa

Misemo imepitwa na wakati hiyo, "lisemwalo lipo"???? inamaana kukiwa na uzushi negative juu yako eg. ushoga hata kama in uongo, kwasababu tu "limesemwa" lipo???
 
Mtu unawezaje kutembea mbele za watu au kushoot video na vichupi bila kutumia madawa ya kulevya ya aina yoyote ile?!! Inajulikana wasanii wengi duniani hutumia haya makitu. Nimefanya kazi "methadone clinic," mateja huwa wananipa story kibao tu! Anyways!

Suala la mavazi ni hulka ya MTU na malezi, haihusiani na madawa..
 
Daah hili n tatzo la kitaifa aisee kuna na yule mwanamuzk Wa gospel naye nackia anabwia nae
 
Jamani hivi madawa wanayapendea nini?Sasa na alivyo si atatisha?
 
Back
Top Bottom