Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Ni Hatari Sana hawa mabongo fleva kichwani Kardashian...
 
Lisemwalo Lipo ngoja tuone mambo yatakavyokwenda Kwa Vanessa ila siaminiamini kabisa

Misemo imepitwa na wakati hiyo, "lisemwalo lipo"???? inamaana kukiwa na uzushi negative juu yako eg. ushoga hata kama in uongo, kwasababu tu "limesemwa" lipo???
 

Suala la mavazi ni hulka ya MTU na malezi, haihusiani na madawa..
 
Daah hili n tatzo la kitaifa aisee kuna na yule mwanamuzk Wa gospel naye nackia anabwia nae
 
Jamani hivi madawa wanayapendea nini?Sasa na alivyo si atatisha?
 
i hope ule ujinga uliokuwa uanendelea pale mikocheni kwa demu wake ngwea yule mzungu haupo tena,yeye na yule mdada m south wa Big brother aliygeuka mtangzaji bongo sio company mzuri kw huyu dada yetu V.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…