Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.

Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.

Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.
Kidada sikipendi sana hiki, kinisamehe! Msanii gani huyo mwingine? Au yule wa wimbo wa SISIKII??
 
Je, unajua kama mpenzi wake ni dealer kwenye hiyo biashara?

Mkuu ukiwa unauza sigara kuna baadhi ya wateja watakwambia niwashie.

Labda anakuwaga kwenye kitengo cha kutest ubora!
Teh teh teh....
.
Kama kuuza pombe bila kujua ubora wake.Elimu inahitajika sana ktk jamii hasa wasanii wetu
 
Mkuu hali ni mbaya sana mfano jana nilikua sehemu nasikiliza kesi hizi za kifamilia mama hamuelewi mwanae wa kiume wa miaka 15 mama anasema mwanae ana mambo mengi ya kike na amemtamkia mzazi wake kheri awe mwanamke kuliko kuwa wa kiume kaulizwa sababu akasema ameshazoea huo mchezo eti baba yake mzazi alianza kumfanyia hivyo since akiwa class 4 (now kamaliza class 7.)

Huyu kijana alikuwa anaishi na baba yake baada ya wazazi wake kutengana now baba ametangulia mbele ya haki kijana karudi kuishi na Mama yake!

Hataki kuendelea na secondary anataka kufanya kazi saloon ya kike!!

Visa ni vingi mno mno!
Mpendwa ..hebu usinipe ugonjwa wa moyo eeeh!!!
What...? (kwanza niulize Mji /maeneo gani?)
Ustawi wa jamii upo wapi?
 
Mpendwa ..hebu usinipe ugonjwa wa moyo eeeh!!!
What...? (kwanza niulize Mji /maeneo gani?)
Ustawi wa jamii upo wapi?

Dar es salaam, Ilala na Tabata, kuna vikundi vya vijana wanaoishi katika mazingira hatalishi wavulana kwa wasichana ( wengine wakubwa nao wameathirika na drugs abuse na wengine kisaikolojia) in short matumaini ya maisha ya amani moyoni huku mitaani ni 0.00% hakuna kabisa hope!!
 
Kwa Uchungu...basi nakuja funguwa na kuasisi NGO !! (rehblisheni) hope mema mbeleni...
 
Hilo jina kapuni nalitamani maana anayetoka naye kimapenzi anajulikana labda kama anao wengi.
Nami nilitaka nimwulize hilo swali.. Maana Boyi Furendi wake anafahamika... sasa jina kapuni manake nini..!
 
Harafu wasanii wanajiita kioo cha jamii kwa misingi ipi?
 
Back
Top Bottom