Hasa unaiogapa au unaipenda habr zakeJamii Forum huwa naiogopa sana mambo yanaanza humu kama utani ila baada ya muda matokeo yanaonekana ,
Kidada sikipendi sana hiki, kinisamehe! Msanii gani huyo mwingine? Au yule wa wimbo wa SISIKII??Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.
Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.
Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.
Teh teh teh....Je, unajua kama mpenzi wake ni dealer kwenye hiyo biashara?
Mkuu ukiwa unauza sigara kuna baadhi ya wateja watakwambia niwashie.
Labda anakuwaga kwenye kitengo cha kutest ubora!
Yule Wa nibebe amebwia had anataka kubebwaHaa si yule mwenye style za luckydube? Mi nilijua ganja tuu!
Kama unabisha hili basi hujawahi kuingia insta, in short ni marole model wa vijana wengi wasiojielewaachana na misemo ya kwenye makaratasi,umemuona msanii gani akiwa role model?
kwanini hukipendi labda?Kidada sikipendi sana hiki, kinisamehe! Msanii gani huyo mwingine? Au yule wa wimbo wa SISIKII??
Ndo maana nimesema ANISAMEHE! Yawezekana koukweli yupo tofauti na nimdhanivyo, swagga zake kwa ujumla! Pia namuona yupo TOO COCKY than being CONFIDENT!kwanini hukipendi labda?
Unapenda kuona nyumba ya jirani yako ikiteketea? Binadamu wakiambiwa wapange mstari na wewe utaenda kupanga? Huwa unazunguka makaburini usiku?Ubuyu mtamu sana asee..!!
Kaka tuna tumia tafsida kwani mpaka sasa huja mjua huyo mke mwenzie Vanessa.huko bongo muvi na bongo fleva kama kiti Cha basi kila kitu ni put money on the tableTupieni na kapicha basi wakuu
Kama yuko tayari, anakaribishwa kwenye rehabilitation center yangu nimpe matibabu for free
Hata wewe[emoji12] ?Iko wapi?
Hata wewe[emoji12] ?
Mpendwa ..hebu usinipe ugonjwa wa moyo eeeh!!!Mkuu hali ni mbaya sana mfano jana nilikua sehemu nasikiliza kesi hizi za kifamilia mama hamuelewi mwanae wa kiume wa miaka 15 mama anasema mwanae ana mambo mengi ya kike na amemtamkia mzazi wake kheri awe mwanamke kuliko kuwa wa kiume kaulizwa sababu akasema ameshazoea huo mchezo eti baba yake mzazi alianza kumfanyia hivyo since akiwa class 4 (now kamaliza class 7.)
Huyu kijana alikuwa anaishi na baba yake baada ya wazazi wake kutengana now baba ametangulia mbele ya haki kijana karudi kuishi na Mama yake!
Hataki kuendelea na secondary anataka kufanya kazi saloon ya kike!!
Visa ni vingi mno mno!
Mpendwa ..hebu usinipe ugonjwa wa moyo eeeh!!!
What...? (kwanza niulize Mji /maeneo gani?)
Ustawi wa jamii upo wapi?
Kwa Uchungu...basi nakuja funguwa na kuasisi NGO !! (rehblisheni) hope mema mbeleni...Dar es salaam, Ilala na Tabata, kuna vikundi vya vijana wanaoishi katika mazingira hatalishi wavulana kwa wasichana ( wengine wakubwa nao wameathirika na drugs abuse na wengine kisaikolojia) in short matumaini ya maisha ya amani moyoni huku mitaani ni 0.00% hakuna kabisa hope!!
Ahaaa nilijua ni tayari! Manaake hayana hodi haya inaanza kama tetesi mwishowe utasikia kwli..Nataka anielekeze ili nimpeleke Vanessa.
Nami nilitaka nimwulize hilo swali.. Maana Boyi Furendi wake anafahamika... sasa jina kapuni manake nini..!Hilo jina kapuni nalitamani maana anayetoka naye kimapenzi anajulikana labda kama anao wengi.
Ahaaa nilijua ni tayari! Manaake hayana hodi haya inaanza kama tetesi mwishowe utasikia kwli..