Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

Mwanzoni nilimuona Vanessa wa kawaida ila kadri anavyozidi kuachia ngoma anathibitisha ukali wake.

Sasahivi kuna demu mwingine anaitwa RUBBY kama habahatishi gemu atakuja kuwakimbiza ile mbaya make ana sauti flani hivi amaizing.
 
Vannessa anatisha!! Mwanamziki gan wa kike Tanzania umeona nyimbo yake inapigwa TRACE.MTV au Channel? Sidhani kama Jdee nyimbo zake zimewahi kupigwa huko zaidi ya East Africa tu.

Tatizo siyo kupigwa tatizo ni ku make money ukienda station za kenya mwanamziki nyimbo yake ikipigwa kwenye radio huwa analipwa!
 
she is doing great......i like her.
 
Wote Vanessa na Jide ni mifupa tu...no attraction at all...!!!

Most female artists, must be looking sexy, attractive, adorable hata kabla hajafungua mdomo tu unampenda..ndio marketing yao inapoanzia...!!!

So akiwa hivyo na akiwa female musician akiwa na kipaji atapata soko sana...sbb anauzika mbele ya macho ya watu...

Sasa unakuta mtu amekauka...mbele, nyuma kote sawa..hata hujui hili dume jike au...macho makavu mwanamke kama mchawi...!!! Waende hukoo...
 
Tukubali tukatae ila msanii wa kike Vanessa Mdee ndiyo queen wa R&B na music wa kizazi kipya East Africa kwa sasa.

Amefanikiwa kuondoa utawala wa Lady Jaydee kwa muda mrefu.

Kwa sasa ndiyo msanii anayepata airplay kuliko wasanii wote East Africa kwenye channel za kimataifa na wimbo wake hatari sana "nobody but me".

Mwana muziki huyu ambae ni mwanasheria kitaaluma music wake na uimbaji wake una standards za kimataifa unaweza kupenya popote.

Kwa niaba ya jamiiforums nampa hongera na tunamtakia kila la heri.

Yaaani unafananisha panya na tembo!! Haufaham mziki vizuri
 
Namkubali V money ni kweli kwasasa hana mpinzani atafika mbali kwani ana bidii na anachokifanya.

Come over nilikuelewa sana Vanessa!!!!!
 
Hampo serious kumfananisha Jide na Vanessa! Hivi tuanze tu muda walio kaa kwenye game kati ya vanessa na Jide, Jide ana miaka 15 kwenye game tangu atambulike rasmi, vanessa hana Album, Jide ana album zaid ya nne na tuzo 31 tangu mwaka 2000 kutoka nje na ndani ya Tz, hapo kwa madiba kwenye tuzo za kora kashakuwa nominated mara kibao na kuondoka na tuzo zao vanessa hajaanza kuimba. Kwa sasa vanessa yuko kwenye mainstream tu na hii huwa ni kawaida tu, Tafadhari heshima ya Jay dee mmpatie na ukitaka kuamini leo hii jay dee akiandaa show pale mgahawani kwake angalia nyomi yake.
 
vmoney yuko poa mnoo kushnda hata uyo bb yao jide uso mkavuuu
 
Wote Vanessa na Jide ni mifupa tu...no attraction at all...!!!

Most female artists, must be looking sexy, attractive, adorable hata kabla hajafungua mdomo tu unampenda..ndio marketing yao inapoanzia...!!!

So akiwa hivyo na akiwa female musician akiwa na kipaji atapata soko sana...sbb anauzika mbele ya macho ya watu...

Sasa unakuta mtu amekauka...mbele, nyuma kote sawa..hata hujui hili dume jike au...macho makavu mwanamke kama mchawi...!!! Waende hukoo...

Kwa iyo unamaanisha wanamuziku wakike wembamba ni wachawi? Nadhani akina Rihanna watakuwa wakufunzi wa uchawi kabisaaa....
Bad reasoning.
 
Vanessa mdee kweli anajua mpaka najiuliza alikua anasubiri nn siku zote hizo" amenza music hata 5 yrs hana lkn uwezo wake umeonekana from the starting point never disappoint hz fans at al, Nobody but me ni cul song huwezi choka kuisikiliza kabisa video ndo daah.
Lkn bdo cjamkabidhi kiti cha Komando Jide.
 
Naungana na wewe mtoa mada 100%

Mimi nilivyomuelewa mtoa mada hakua na maana kwamba Vanessa ni mkali kuliko Jide, ila ana maana kwamba kwa sasa nafasi ya Jide kaichukua Vanessa kwa sababu Jide hawezi kua queen of bongo fleva milele na milele tusikariri!!
 
wasanii wengi wa sasa wanabebwa sana na nguvu ya mitandao hii lazima kwnza uelewe. angalia tu views zinazopata video kwenye youtube wakati ubunifu tu hazina.

Kimuziki bado sana kufananisha kazi za Vanesa na JayDee. Yaani unafananisha mtu mwenye single tatu sijui nne na mtu mwenye album karibia kumi kwenye game na bado anafanya muziki.!? huo ni utani mkubwa wa mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom