Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Vannessa anatisha!! Mwanamziki gan wa kike Tanzania umeona nyimbo yake inapigwa TRACE.MTV au Channel? Sidhani kama Jdee nyimbo zake zimewahi kupigwa huko zaidi ya East Africa tu.
Tukubali tukatae ila msanii wa kike Vanessa Mdee ndiyo queen wa R&B na music wa kizazi kipya East Africa kwa sasa.
Amefanikiwa kuondoa utawala wa Lady Jaydee kwa muda mrefu.
Kwa sasa ndiyo msanii anayepata airplay kuliko wasanii wote East Africa kwenye channel za kimataifa na wimbo wake hatari sana "nobody but me".
Mwana muziki huyu ambae ni mwanasheria kitaaluma music wake na uimbaji wake una standards za kimataifa unaweza kupenya popote.
Kwa niaba ya jamiiforums nampa hongera na tunamtakia kila la heri.
Kimbau mbau flani kipo clouds kina fosi fani
Wote Vanessa na Jide ni mifupa tu...no attraction at all...!!!
Most female artists, must be looking sexy, attractive, adorable hata kabla hajafungua mdomo tu unampenda..ndio marketing yao inapoanzia...!!!
So akiwa hivyo na akiwa female musician akiwa na kipaji atapata soko sana...sbb anauzika mbele ya macho ya watu...
Sasa unakuta mtu amekauka...mbele, nyuma kote sawa..hata hujui hili dume jike au...macho makavu mwanamke kama mchawi...!!! Waende hukoo...