brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Kwanza hongera kwa nyimbo yako mpya never ever ni nzuri, hata video yako ina quality nzuri ila nimepata ukakasi kidogo na mavazi vile vichupi mle ndani tena vimeloana na maji naona si sawa, hasa kwa watoto wadogo wanaotazama.
Labda kama ulilenga watu wazima pekee. Ingekuwa Kenya isingeruhusiwa kwenye Tv zake.
=============
Labda kama ulilenga watu wazima pekee. Ingekuwa Kenya isingeruhusiwa kwenye Tv zake.
=============
Last edited by a moderator: