Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

Kwanini wanakopy majina ya nyimbo za mbele
Never Ever - Ciara
Oooh Na Na -- Treyz
Oo Nana - Diamond
Umeshawahi kujiuliza kwanini movie or series title zina-include na mwaka? Kwa mfano "Sabotage (1995)"
 
Umeshawahi kujiuliza kwanini movie or series title zina-include na mwaka? Kwa mfano "Sabotage (1995)"

Swali langu kwanini Watanzania twacopy majina ya huko juu?
 
Hata mbele majina yanajirudia katika nyimbo ni kawaida

Justin beiber where have you been
Rihanna where have you been
Usher Reymond numb
Rihanna numb
Jay Sean where are you
B.o.b where are you
You're very right and in short, hakuna hatimiliki ya titles na ndio maana nikampa changamoto ikiwa amepata kujiuliza ni kwanini movie/series titles huwa zina-include na mwaka coz' they know same title inaweza kujirudia kwa filamu zaidi ya moja!
 
Swali langu kwanini Watanzania twacopy majina ya huko juu?
Nimekupa huo mfano kuonesha kwamba majina ya titles duniani kote huwa yanafanana na haiwi considered kwamba ni copying na ili kuepusha kuchanganya walaji, ndio maana unakuta vitu kama movie/series ambazo ni very common kwa majina kujirudia, wanaamua kuweka na mwaka ili kutofautisha Sabotage ya mwaka X na ile ya mwaka Y! Mara nyingi wanamuziki huwa wana-derive titles kutoka kwenye repetitive phrases na wengine kwenye dhima... sasa ikiwa title ina-reflect repetitive phrases au dhimal hapo hamna copying yoyote! Na ndio maana ni kawaida sana kuona official title ya wimbo X lakini mashabiki wakawa wanauita Y simpy because title yako haiku-reflect repetitive phrases wala dhima ya wimbo!
 
Mimi sijaona shida kabisa na swimming custom aliyovaa....

Kingine mi naona Vanessa target yake ni kusindika zaidi jina lake afrika mashariki na Afrika kwa ujumla, na ameshaanza kufanikiwa katika hilo..

Ili tuendelee tunahitaji Wanamuziki wengine wenye kujituma na kujaribu kuvuka boda kama Vmoney kama watano hivi hapo moja kwa moja muziki wetu unakuwa next level
 
Mi sio mshabiki wa ally kiba kabisa na pia simpangii mtu kumpenda au kumchukia... Lakini mnakosea sana mihemuko yenu ya kwenye siasa mnapoileta kwenye Muziki...

Kiba ni msanii anafanya kazi yake, hawezi akaacha mamilioni ya Pesa ambayo yanaweza yasitokee kwa miaka mingi ijayo kisa tu ushabiki uchwara ambao unamfanya mpaka leo asiwe amejenga au kumiliki nyumba(rejea kisa cha kutimuliwa kwenye ile nyumba)..

Watu wa Ukawa mnao msemo wenu kuwa mnatweza kumtumia hata shetani kuingia ikulu, basi waacheni na hawa wasanii wetu wabongo wawatumie hata hao shetani kupata riziki zao, maan huu ndio msimu wao wa mavuno jamani ..

Kingine mpunguze UMIMI.... Sio kila mnachokitaka nyie mtegemee kila mtu atakifanya, kukipenda, kukishabikia... This is a Democratic Country
Well said mkuu , na mtu akifulia ndio watakuwa wa kwanza mkucheka , Siasa sio ugomvi , tukumbuke kuna maisha pia baada ya uchaguzi .
 
Ukianza kuhesabu nyimbo zenye title 'I Love U' au 'My Love' duniani zinaweza kuzidi buku kwahiyo kufanana title sio ishu, kufanana lyrics ndio ishu. Anyway Vannesa namkubali sana but alianza kuniboa alipoanza kuvaa kipini puani yaani sijui namuonaje, kama anasoma hapa naomba aache aisee haipendezi
 
Ukianza kuhesabu nyimbo zenye title 'I Love U' au 'My Love' duniani zinaweza kuzidi buku kwahiyo kufanana title sio ishu, kufanana lyrics ndio ishu. Anyway Vannesa namkubali sana but alianza kuniboa alipoanza kuvaa kipini puani yaani sijui namuonaje, kama anasoma hapa naomba aache aisee haipendezi

Ndo kashatopoa kipua sasa....hakizibikii
 
Back
Top Bottom