Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wanakopy majina ya nyimbo za mbele
Never Ever - Ciara
Oooh Na Na -- Treyz
Oo Nana - Diamond
kwanza hongera kwa nyimbo yako mpya never ever ni nzuri, hata video yako ina quality nzuri ila nimepata ukakasi kidogo na mavazi vile vichupi mle ndani tena vimeloana na maji naona si sawa, hasa kwa watoto wadogo wanao tazama. labda kama ulilenga watu wazima pekee. ingekuwa kenya isingeruhusiwa kwenye tv zake.
Mi sio mshabiki wa ally kiba kabisa na pia simpangii mtu kumpenda au kumchukia... Lakini mnakosea sana mihemuko yenu ya kwenye siasa mnapoileta kwenye Muziki...
Kiba ni msanii anafanya kazi yake, hawezi akaacha mamilioni ya Pesa ambayo yanaweza yasitokee kwa miaka mingi ijayo kisa tu ushabiki uchwara ambao unamfanya mpaka leo asiwe amejenga au kumiliki nyumba(rejea kisa cha kutimuliwa kwenye ile nyumba)..
Watu wa Ukawa mnao msemo wenu kuwa mnatweza kumtumia hata shetani kuingia ikulu, basi waacheni na hawa wasanii wetu wabongo wawatumie hata hao shetani kupata riziki zao, maan huu ndio msimu wao wa mavuno jamani ..
Kingine mpunguze UMIMI.... Sio kila mnachokitaka nyie mtegemee kila mtu atakifanya, kukipenda, kukishabikia... This is a Democratic Country
Punguza ukali nduguUnafahamu nyimbo zenye majina ya 'Mama', 'Sorry', Promise na kadhalika ziko ngapi duniani.. acha kuwaza kama CCM hebu kuwa na upeo kidogo.. Alaaah... nyie ndo wale tunawaitiaga Nyoso awastue
Wimbo mzuri hivo vinguo sasa anavovaa Vanessa hadi aibu kuangalia na watu wenye heshima zao
NILIMPENDA KIBA KUPINDUKIA, KWA SASA NAMCHUNIA KULIKO NILIVYOMPENDA.....kwa taarifa yako wtsp sina rafiki anayemkubali kiba kwa sasa.....wooote wamegeuka,,,,,akaombe kura kwa magufuli
kwanza hongera kwa nyimbo yako mpya never ever ni nzuri, hata video yako ina quality nzuri ila nimepata ukakasi kidogo na mavazi vile vichupi mle ndani tena vimeloana na maji naona si sawa, hasa kwa watoto wadogo wanao tazama. labda kama ulilenga watu wazima pekee. ingekuwa kenya isingeruhusiwa kwenye tv zake.
Kwa huo mziki wanaoimba itawachukua miaka 100 kutoka kimataifa kama wanavotaka wao,huwezi ukawaletea wamarekani rnb sababu huko kwao ndio ilikozaliwa,huwezi ukawaletea na hip hop huko ndo chimbuko.Yani huko kwao kwenyewe kuna underground zaidi ya milioni wa huo mziki tena wanaujua vizuri lakini hawatoki,sembuse nyie foreigners mnaotaka kuwaiga.
Wawe orijino wafanye mziki wenye mahadhi ya kiafrika ndio wanaweza kutoka kimataifa,wanapoteza fedha zao nyingi kuinvest kwenye hamna.
Wamwangalie diamond mwenzao nyimbo zake zina ladha ya afrika ndo mana anatoboa ile mbaya.
Uzi wa vanesa
ligi ya kiba vs diamond plus siasa....
Sijui tunaakili gani...!! Yan badala ya kukoment kuhusu titles tunahamishia mambo yasio husiana kabisaa
Uzi wa vanesa
ligi ya kiba vs diamond plus siasa....
Sijui tunaakili gani...!! Yan badala ya kukoment kuhusu titles tunahamishia mambo yasio husiana kabisaa
Vanessa ndo nani ???