Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kwanza hongera kwa nyimbo yako mpya never ever ni nzuri, hata video yako ina quality nzuri ila nimepata ukakasi kidogo na mavazi vile vichupi mle ndani tena vimeloana na maji naona si sawa, hasa kwa watoto wadogo wanaotazama.

Labda kama ulilenga watu wazima pekee. Ingekuwa Kenya isingeruhusiwa kwenye Tv zake.

=============

Last edited by a moderator:
Kwanini wanakopy majina ya nyimbo za mbele
Never Ever - Ciara
Oooh Na Na -- Treyz
Oo Nana - Diamond
 
Kwanini wanakopy majina ya nyimbo za mbele
Never Ever - Ciara
Oooh Na Na -- Treyz
Oo Nana - Diamond

Unafahamu nyimbo zenye majina ya 'Mama', 'Sorry', Promise na kadhalika ziko ngapi duniani.. acha kuwaza kama CCM hebu kuwa na upeo kidogo.. Alaaah... nyie ndo wale tunawaitiaga Nyoso awastue
 
NAJISKIA RAHA KIBA KUWA DOWN KWA MAANA ALISHINDWA KUJUA NI NANI HASA MASHABIKI WAKE AKAAMUA KUJIWEKA KWA MAGUFULI

KIBA ANGETAKIWA ASOME MCHEZO KWA NJEE na sasa hata tuzo za kilimajnaro mwaka huu kiba lazma aburuzwe
 
Akili zako ww kama kitale kuchukua tuzo inategemea na nyimbo jinsi ilivyo hit katika huo mwaka au collaboration kama "mapenzi pesa " iwe best collaboration itakuwa maajabu coz haija hit the same goes to others
 
kiba lazima avune alichopanda subiri kill music awards ndio ujue alitukasirisha kumpigia debe magufuli
diamond ni ccm na hilo liko wazi ila kiba ambaye alionesha ni mtu wa watu, na watu ni ukawa mwishoe akaenda kwa magufuli....plz namchukia diamond ila kiba staki hat kumwona

ikianza kili music award nitamkosesha kiba zaidi ya kura mia sita...nitaishawishi jumuiya yangu kuachana na KIBA KWA USALITI WAKE
 
Na nani sasa kama simjui ni siseme we kama unamjua nifahamishe ni nani maana ma star wapo wengi siku hizi mpaka stanbakora ??
NILIMPENDA KIBA KUPINDUKIA, KWA SASA NAMCHUNIA KULIKO NILIVYOMPENDA.....kwa taarifa yako wtsp sina rafiki anayemkubali kiba kwa sasa.....wooote wamegeuka,,,,,akaombe kura kwa magufuli
 
Na nani sasa kama simjui ni siseme we kama unamjua nifahamishe ni nani maana ma star wapo wengi siku hizi mpaka stanbakora ??

Basi wewe si msikilizaji wa mziki wa bongo maana vanessb ndo msanii wa kike anaeongoza kwa ubora sasa
 
NILIMPENDA KIBA KUPINDUKIA, KWA SASA NAMCHUNIA KULIKO NILIVYOMPENDA.....kwa taarifa yako wtsp sina rafiki anayemkubali kiba kwa sasa.....wooote wamegeuka,,,,,akaombe kura kwa magufuli
Kwani kosa lake ccm kama ni ccm show moja wanampa 25m sasa aache kisa mashabiki we kweli unachekesha mi ni ukawa ila siezi fanya ujinga huo
 
Unamchukia bila sababu kabla hajapiga campaign ccm alishaitwa mara nyingi na ccm akakataa ilikuwa jangwani awepo akasema ana sho mombasa alivyorudi akafuatwa tena ndo akakubali tena baada ya kuongea na die hard fans wake sasa aache 25m kisa mashabiki watachukia daa haya bwana endelea na msimamo wako leo alikuwa lindi anapiga show za ccm #mabadiliko 2015
 
Basi wewe si msikilizaji wa mziki wa bongo maana vanessb ndo msanii wa kike anaeongoza kwa ubora sasa
Ndo maana lowassa kasema
1.elimu
2.elimu
3.elimu
Kitu cha kunifahamisha tu ni nani na yupoje unazunguuka #daa mabadiliko ni muhimu sana kwa Tanzania
 
Kwani kosa lake ccm kama ni ccm show moja wanampa 25m sasa aache kisa mashabiki we kweli unachekesha mi ni ukawa ila siezi fanya ujinga huo
Achana na huyo ..... Anamawivu yake binafsi.... Watu kama yeye ndo huaga hawaendelei kamwe.... Wanachukua muda mwingi kuHATE hustle za wengine kuliko kufanya Zhao..... Tubadilike bana......

Sent from my TECNO M5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…