Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

Mi sio mshabiki wa ally kiba kabisa na pia simpangii mtu kumpenda au kumchukia... Lakini mnakosea sana mihemuko yenu ya kwenye siasa mnapoileta kwenye Muziki...

Kiba ni msanii anafanya kazi yake, hawezi akaacha mamilioni ya Pesa ambayo yanaweza yasitokee kwa miaka mingi ijayo kisa tu ushabiki uchwara ambao unamfanya mpaka leo asiwe amejenga au kumiliki nyumba(rejea kisa cha kutimuliwa kwenye ile nyumba)..

Watu wa Ukawa mnao msemo wenu kuwa mnatweza kumtumia hata shetani kuingia ikulu, basi waacheni na hawa wasanii wetu wabongo wawatumie hata hao shetani kupata riziki zao, maan huu ndio msimu wao wa mavuno jamani ..

Kingine mpunguze UMIMI.... Sio kila mnachokitaka nyie mtegemee kila mtu atakifanya, kukipenda, kukishabikia... This is a Democratic Country
 
Kwanini wanakopy majina ya nyimbo za mbele
Never Ever - Ciara
Oooh Na Na -- Treyz
Oo Nana - Diamond

Hata mbele majina yanajirudia katika nyimbo ni kawaida

Justin beiber where have you been
Rihanna where have you been
Usher Reymond numb
Rihanna numb
Jay Sean where are you
B.o.b where are you
 

Huyu naye kaanza kukaa uchi majukwaan.
 

Asante kaka umemaliza yote waache unafk kuchanganya siasa na mzk na kiba ana haki kikatiba kabisa kuchagua chama .... mi team diamond lakn kiba anajua kishenz tatizo si mjasiliamali wa muzk ndo maana hustle zake hazionekan .. na pia hao mashabk uchwara wa kiba achen hzo jitahd kumuelewesha mtu wenu juu ya mabadliko ya mzk ...
 
Unafahamu nyimbo zenye majina ya 'Mama', 'Sorry', Promise na kadhalika ziko ngapi duniani.. acha kuwaza kama CCM hebu kuwa na upeo kidogo.. Alaaah... nyie ndo wale tunawaitiaga Nyoso awastue
Punguza ukali ndugu
 
WImbo huu ni mbovu hatari, uthungu mwingi, eti anatangaza Tanzania shame shame, heri hata snura au shilole, huyu wanambeba tu, mi jana nimepatwa na hasira eti kamebeba Afrimma,

Mwanamziki ni KingKiba tu. Na wimbo bora ni #Nagharamia tu
 
Huyo m2 Unaemtaja hajui na ataendelea kuburuzwa2 cz munge mpigia kura ashinde yy#baraka ya maneno2
 
NILIMPENDA KIBA KUPINDUKIA, KWA SASA NAMCHUNIA KULIKO NILIVYOMPENDA.....kwa taarifa yako wtsp sina rafiki anayemkubali kiba kwa sasa.....wooote wamegeuka,,,,,akaombe kura kwa magufuli

Mi ctaki hata kumwona watu ka kina domo mziki umewanufaisha sana sasa ni hela gani ambazo haendelei tena yeye wa kitambo. Ingekuwa wanapewa mamilion umaskini ungewaisha wasanii wote.
Kuna watu watasema kila mtu ana uamuzi wake na Uhuru ila this time consequences wataipata
 

Kwa huo mziki wanaoimba itawachukua miaka 100 kutoka kimataifa kama wanavotaka wao,huwezi ukawaletea wamarekani rnb sababu huko kwao ndio ilikozaliwa,huwezi ukawaletea na hip hop huko ndo chimbuko.Yani huko kwao kwenyewe kuna underground zaidi ya milioni wa huo mziki tena wanaujua vizuri lakini hawatoki,sembuse nyie foreigners mnaotaka kuwaiga.

Wawe orijino wafanye mziki wenye mahadhi ya kiafrika ndio wanaweza kutoka kimataifa,wanapoteza fedha zao nyingi kuinvest kwenye hamna.
Wamwangalie diamond mwenzao nyimbo zake zina ladha ya afrika ndo mana anatoboa ile mbaya.
 
Uzi wa vanesa
ligi ya kiba vs diamond plus siasa....

Sijui tunaakili gani...!! Yan badala ya kukoment kuhusu titles tunahamishia mambo yasio husiana kabisaa
 

It makes sense. You nailed it.
 
Uzi wa vanesa
ligi ya kiba vs diamond plus siasa....

Sijui tunaakili gani...!! Yan badala ya kukoment kuhusu titles tunahamishia mambo yasio husiana kabisaa

Shangaa wewe, me nimeshindwa kuelewa
 
Teheee tehee kila kitu kina faida na hasara msijafanye mmesahau mnavyopiga kelele kuwataka wavuke boarders wawe wa kimataifa mlidhani watatoboaje bila kuwa nusu uchi au uchi kabisa maana nyimbo zao wana copy ladha za nje ikiwemo lugha unadhani wakivaa vitenge uko nje wataziangalia haa haaa hakuna namna lazima wakae uchi kama hamtaki zimeni tv zenu ila kwa utumwa wa ki-akili ulivyotutawala lazima wakae uchi ndio mafanikio yaje na soon tutakua na nyimbo au movie zenye ku-support ushoga na usagaji duh maisha yako kasi sana.
 
Uzi wa vanesa
ligi ya kiba vs diamond plus siasa....
Sijui tunaakili gani...!! Yan badala ya kukoment kuhusu titles tunahamishia mambo yasio husiana kabisaa

hapa mkuu ndipo utakapozijua akili za watanzania yaan wanabore acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…