Umeshawahi kujiuliza kwanini movie or series title zina-include na mwaka? Kwa mfano "Sabotage (1995)"Kwanini wanakopy majina ya nyimbo za mbele
Never Ever - Ciara
Oooh Na Na -- Treyz
Oo Nana - Diamond
Umeshawahi kujiuliza kwanini movie or series title zina-include na mwaka? Kwa mfano "Sabotage (1995)"
You're very right and in short, hakuna hatimiliki ya titles na ndio maana nikampa changamoto ikiwa amepata kujiuliza ni kwanini movie/series titles huwa zina-include na mwaka coz' they know same title inaweza kujirudia kwa filamu zaidi ya moja!Hata mbele majina yanajirudia katika nyimbo ni kawaida
Justin beiber where have you been
Rihanna where have you been
Usher Reymond numb
Rihanna numb
Jay Sean where are you
B.o.b where are you
Wimbo mzuri hivo vinguo sasa anavovaa Vanessa hadi aibu kuangalia na watu wenye heshima zao
Nimekupa huo mfano kuonesha kwamba majina ya titles duniani kote huwa yanafanana na haiwi considered kwamba ni copying na ili kuepusha kuchanganya walaji, ndio maana unakuta vitu kama movie/series ambazo ni very common kwa majina kujirudia, wanaamua kuweka na mwaka ili kutofautisha Sabotage ya mwaka X na ile ya mwaka Y! Mara nyingi wanamuziki huwa wana-derive titles kutoka kwenye repetitive phrases na wengine kwenye dhima... sasa ikiwa title ina-reflect repetitive phrases au dhimal hapo hamna copying yoyote! Na ndio maana ni kawaida sana kuona official title ya wimbo X lakini mashabiki wakawa wanauita Y simpy because title yako haiku-reflect repetitive phrases wala dhima ya wimbo!Swali langu kwanini Watanzania twacopy majina ya huko juu?
Uzungu mwingi..apunguze
Well said mkuu , na mtu akifulia ndio watakuwa wa kwanza mkucheka , Siasa sio ugomvi , tukumbuke kuna maisha pia baada ya uchaguzi .Mi sio mshabiki wa ally kiba kabisa na pia simpangii mtu kumpenda au kumchukia... Lakini mnakosea sana mihemuko yenu ya kwenye siasa mnapoileta kwenye Muziki...
Kiba ni msanii anafanya kazi yake, hawezi akaacha mamilioni ya Pesa ambayo yanaweza yasitokee kwa miaka mingi ijayo kisa tu ushabiki uchwara ambao unamfanya mpaka leo asiwe amejenga au kumiliki nyumba(rejea kisa cha kutimuliwa kwenye ile nyumba)..
Watu wa Ukawa mnao msemo wenu kuwa mnatweza kumtumia hata shetani kuingia ikulu, basi waacheni na hawa wasanii wetu wabongo wawatumie hata hao shetani kupata riziki zao, maan huu ndio msimu wao wa mavuno jamani ..
Kingine mpunguze UMIMI.... Sio kila mnachokitaka nyie mtegemee kila mtu atakifanya, kukipenda, kukishabikia... This is a Democratic Country
..ssa. Mgombea urais wa ukawa!Vanessa ndo nani ???
..ssa. Mgombea urais wa ukawa!
Ukianza kuhesabu nyimbo zenye title 'I Love U' au 'My Love' duniani zinaweza kuzidi buku kwahiyo kufanana title sio ishu, kufanana lyrics ndio ishu. Anyway Vannesa namkubali sana but alianza kuniboa alipoanza kuvaa kipini puani yaani sijui namuonaje, kama anasoma hapa naomba aache aisee haipendezi
Ni mtoto wa Hadija Kopa!Vanessa ndo nani ???
Swali langu kwanini Watanzania twacopy majina ya huko juu?
Wewe lazima utakuwa kibibi kizee..
Punguza jazba bwamdogoBibi kizee babako
Punguza jazba bwamdogo
Najua wewe sio bwanamdogo na ndo maana nikakuita kibibi mkuuKoma kuandika pumba by the way sio bwana mdogo mimi
Najua wewe sio bwanamdogo na ndo maana nikakuita kibibi mkuu