Soon and very soon u will see vee money with big bigger moneeyy and fame from ths video. Ni mkwe wenu huyo atiawaonee haya. ?? Unafik mtupu...[/QUOTE
Hoja si kutengeneza hela maana hata wacheza porno na wacheza uchi kwenye makasino wanatengeneza hela....! Hoja hapa hii ni sawa kwa maadili yetu? kwa hiyo unataka kusema tuache watu wacheze uchi hadharani kwakuwa tuu wanaweza tengeneza hela?
Vanessa ndo nani ???
Toleo jipya baada ya toyota verossa
Kwa hiyo unajaribu kusema kuwa hata akionesha anafanya mapenzi chumbani itakuwa sawa kwakuwa chumbani ni mahala sahihi pa kufanyia mapenzi au akituonesha video anaoga akiwa uchi itakuwa sawa kwakuwa kaogea bafuni? Teh Teh...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Toleo jipya baada ya toyota verossa
Maadili peleka kanisani. The girl is going for big maniii.
By the way si kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
Ivo vya chumbani ni vitu private mkuu, ndomana haviwezi kuonyeshwa hadharani halafu vikawa sahihi...chumbani na bafuni ni wawili tu,mtu na mwenza wake au mtu peke yake..ndomana ni kwenye movie za porn tu unaweza ukaona couple zaidi ya moja wakivunja ile amri ya sita katika chumba kimoja...ila kwenye swimming pool ni public lakini ni special watu hata kumi wote mnaogelea fresh tu bila shida..sasa we nenda na ushamba wako ukaogelee ukiwa umevaa ovaroli.
Akili yako ndo imegotea hapo?