Tanzania haina maadili,kama yangekuepo viongozi wetu(Wanasiasa)wasingekua wanatukana kwenye majukwaa.Ukitaka ushahidi wa hayo matusi upo,maana sasa hivi kila mtu ana shahada ya sheria.
Kingine,tuache unafiki,unakuta baba zima linatukana hovyo kwenye public au linatembea na kitoto cha sekondari ambae anaweza hata kumzaa lakini huyo huyo ndio wa kwanza kuwanyooshea vidole wengine kwenye mavazi yao,je hayo anayoyafanya ni maadili...huo ni mfano lakini yapo mengi sana binadam wanafanya ambayo siyo ya kawaida lakini hawayaoni.Tuacheni unafiki,unamhukumu mwenzio,wewe msafi??