Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

Soon and very soon u will see vee money with big bigger moneeyy and fame from ths video. Ni mkwe wenu huyo atiawaonee haya. ?? Unafik mtupu...[/QUOTE

Hoja si kutengeneza hela maana hata wacheza porno na wacheza uchi kwenye makasino wanatengeneza hela....! Hoja hapa hii ni sawa kwa maadili yetu? kwa hiyo unataka kusema tuache watu wacheze uchi hadharani kwakuwa tuu wanaweza tengeneza hela?
 
Kwa hiyo unajaribu kusema kuwa hata akionesha anafanya mapenzi chumbani itakuwa sawa kwakuwa chumbani ni mahala sahihi pa kufanyia mapenzi au akituonesha video anaoga akiwa uchi itakuwa sawa kwakuwa kaogea bafuni? Teh Teh...

Ivo vya chumbani ni vitu private mkuu, ndomana haviwezi kuonyeshwa hadharani halafu vikawa sahihi...chumbani na bafuni ni wawili tu,mtu na mwenza wake au mtu peke yake..ndomana ni kwenye movie za porn tu unaweza ukaona couple zaidi ya moja wakivunja ile amri ya sita katika chumba kimoja...ila kwenye swimming pool ni public lakini ni special watu hata kumi wote mnaogelea fresh tu bila shida..sasa we nenda na ushamba wako ukaogelee ukiwa umevaa ovaroli.
 
Maadili peleka kanisani. The girl is going for big maniii.

By the way si kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
 
Ivo vya chumbani ni vitu private mkuu, ndomana haviwezi kuonyeshwa hadharani halafu vikawa sahihi...chumbani na bafuni ni wawili tu,mtu na mwenza wake au mtu peke yake..ndomana ni kwenye movie za porn tu unaweza ukaona couple zaidi ya moja wakivunja ile amri ya sita katika chumba kimoja...ila kwenye swimming pool ni public lakini ni special watu hata kumi wote mnaogelea fresh tu bila shida..sasa we nenda na ushamba wako ukaogelee ukiwa umevaa ovaroli.

hapo kwenye red mbavu sina daah!
 
Tanzania haina maadili,kama yangekuepo viongozi wetu(Wanasiasa)wasingekua wanatukana kwenye majukwaa.Ukitaka ushahidi wa hayo matusi upo,maana sasa hivi kila mtu ana shahada ya sheria.
Kingine,tuache unafiki,unakuta baba zima linatukana hovyo kwenye public au linatembea na kitoto cha sekondari ambae anaweza hata kumzaa lakini huyo huyo ndio wa kwanza kuwanyooshea vidole wengine kwenye mavazi yao,je hayo anayoyafanya ni maadili...huo ni mfano lakini yapo mengi sana binadam wanafanya ambayo siyo ya kawaida lakini hawayaoni.Tuacheni unafiki,unamhukumu mwenzio,wewe msafi??
 
Yaani nachukia sana hii tabia ya binadam kuwapangia wenzao mavazi ya kuvaa kwa kisingizio cha maadili ambapo ukichunguza sana ni unafiki ndani yake.
Vanessa Mdee usivunjike moyo,endelea vivyo hivyo.
 
Yaani nachukia sana hii tabia ya binadam kuwapangia wenzao mavazi ya kuvaa kwa kisingizio cha maadili ambapo ukichunguza sana ni unafiki ndani yake.
Vanessa Mdee usivunjike moyo,endelea vivyo hivyo.

Akili yako ndo imegotea hapo?
 
Back
Top Bottom