mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Muziki una siri Kubwa sana. VMoney ametoa sehemu ndogo ya siri hiyo. Tujue tu kwamba wasanii ni wasanii kwa kila wanachofanya hata iweje watabaki hivyo. VMoney amelazimika kuacha muziki ili aishi maisha yasiya ya kisanii. Ni jambo zuri.