Vanessa Mdee ni mwanakulitaka na amelipata

Vanessa Mdee ni mwanakulitaka na amelipata

Kuna mda nahisi anaficha kitu...i guess kuumizwa na jux ndo yameleta yote hayo na prolly ndiko depression yake ilipoanzia...hzo blah blah za mzki naona ni kuhide the real truth...tho inaweza kua pia imechangia kwa kias kdgo...bt lastly ye ndo mjuz zaid...
 
Kwaiyo mleta uzi anajua zaid kinachopatikana kwenye zaid zaid ya huyo msanii mwenyewe??

Yaan shida kubwa ya bongo niutapiamlo
Sijasema najua Ila nimekupa Mfano wa wasanii ambao hawajawahi kulalamika
 
Haina tofauti nawale jamaa walioajiriwa wakakimbilia kuoa na kutafuna pesa na show off za kibabe ila mwisho wasiku corona nachangamoto zinginezimekuja wanalialia tu
Unataka uwe bilionea kama Laizer ndipo uoe ?
 
Watu wote tunaishi kwa kuhustle. Chini ya mafanikio kuna vijimambo kibao vinavyowezesha mafanikio. Sasa hata ukisema ulie au ulalamike au utoe ya moyoni ukidhani labda ni wewe tu unayesota kumbe wote tunaokusikiliza tunasota na pengine kuliko wewe.
Asituone hivi, katika kumaintain hatua tulizofikia au kupiga hatua nyingine tunakutana na mambo mengi ya kuumiza.
Wavivu wamepata cha kujitetea
 
Kwaiyo mleta uzi anajua zaid kinachopatikana kwenye zaid zaid ya huyo msanii mwenyewe??

Yaan shida kubwa ya bongo niutapiamlo
Kuna jamaa kwenye kampuni moja alikuwa anamuelekeza bosi wake jinsi ya kuendesha kampuni, akaulizwa swali

"Wewe , umewahi kuendesha kampuni ipi ?"

Sikumbuki jibu alilotoa. Ila jamaa aliishia hapo kuongea.
 
Back
Top Bottom