sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Binafsi lawama zangu naweza kuzielekeza kwa bwana shemeji rotimi.
Siku zote ukipata mchumba anafanya kitu flan yani gafla ukajikuta huwez au huna hamu ya kufanya kile unacho kifanya.
Mziki ulimpenda vasessa na vanessa aliupenda muziki. Ilinichukua muda saana kumuelewa vanessa ila sasa nimemuelewa namuelewa muzik anaoufanya.
Vanesa asijisahau kuwa kwenye uchumba chochote akaona anachokifanya hakina maaana.
Rotimi alipaswa kumuongoza vanesa kufikia kiwango chakimataifa zaidi.
Anyway wajuvi wa mambo wakina warumi wanaweza kutupa maelezo ya haya mambo kwa undani