Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

hahhahahaahaha amepaka ile kitu kule chugga tunaita 'lukaria'
Mkuu kwani zile make up wanazoeka usoni haziwekeki sehemu nyengine katika mwili? mana make up kiboko nayo....
 
Ajifunze kwa adele havai nusu uchi,hajibebishi,hamwagi radhi jukwaani wala hana masteji shoo,lakini akiimba kila mtu anatega sikio kusikilize,anawakimbiza mpaka kina beyonce na rihana wanaojianika maungo kila uchwayo.put the gimicks aside and create good music.
 
Tatizo siyo kuvaa mavazi ya hivyo bali tatizo ni kukosa ubunifu.Angevaa mavazi ambayo ni mageni kwenye macho ya watu ingekuwa vizuri zaidi.Ni bora angevaa kibwaya ili asifananishwe na akina Beyonce.Kufananishwa na mtu huwa hakuna impact.
 
Kwa bahati mbaya sana hata tako hana masikini ya mungu,amepigwa pasi kama mjapani
 
Amenyanyua miguu juu kidogo ili aonekane mrefu kidogo,Vanessa ni mfupi sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi huyu Dada ameolewa?
Mwenye jibu tafadhari
Pia kama yupo mwenye namba yake tafadhari naomba
 
Dah ta.ko jeusi kama rangi ya shaba ranks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…