Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

watu wanachuki sijawahi ona....dasa hizi lawama za mskalio meusi kama lami zinatoka wapi??huo weusi ni upi wa kumsimanga hivo..hiyo ni rangi yake halisi na kama usoni ni make up.
waswahili dawa yao kuwapuuza tu.
Safari Bado ni ndefu sana.Labda waseme kwa hivyo anavojiweka kama kikaragosi ila sio kwa ajili ya weusi wake.
 
Tuna kazi kubwa ya kupigana na utumwa wa kifikra. Kuna wanamuziki wengi wanaofanya vizuri na wanavaa nguo za heshima. Sasa hawa wanaovaa nguo kama wawakilishi wa SHETANI sijui lengo ni nini.
maunga na umalaya tu.kuimba kwenyewe wanajua.u western umewajaa tu.mwanamziki alikua chakachaka
 
Hv hawa wasanii wanaovaaga hivo,na wazazi wao huwa wanaona kweli au???
ndio..ona binti mwingine aliezaliwa na tanzania na kwenda kusomea marekani kama vanessa[emoji116] baada ya graduation wazaz wake na familia wakamwandalia kaparty ka kumpongeza..hapo akiwa na baba mzazi(mh abbas mtemvu) na mamake mzazi ambae alikua diwani..
1492347853011.jpg
 
Watu ijumaa tulikuwa kwenye maombolezo ya kuteswa kwa Yesu ye anapuyanga tu

We vmoney we we
Hivi hiyu ana babake mzazi kweli.?
Maana kama baba ndo anaona picha hizo eti msanii.!
Duh..asavari mi wangu ni msanii wa nyimbo za asiri.[emoji12]
 
Back
Top Bottom