Vieloon
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,520
- 694
Hela kweli ni laaana ya mwisho.......kuonyesha kote makalio yake hayo yalokomaa kisa hela na usupa staaVanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini
View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake