Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Ajifunze kwa adele havai nusu uchi,hajibebishi,hamwagi radhi jukwaani wala hana masteji shoo,lakini akiimba kila mtu anatega sikio kusikilize,anawakimbiza mpaka kina beyonce na rihana wanaojianika maungo kila uchwayo.put the gimicks aside and create good music.
 
Tatizo siyo kuvaa mavazi ya hivyo bali tatizo ni kukosa ubunifu.Angevaa mavazi ambayo ni mageni kwenye macho ya watu ingekuwa vizuri zaidi.Ni bora angevaa kibwaya ili asifananishwe na akina Beyonce.Kufananishwa na mtu huwa hakuna impact.
 
Amenyanyua miguu juu kidogo ili aonekane mrefu kidogo,Vanessa ni mfupi sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi huyu Dada ameolewa?
Mwenye jibu tafadhari
Pia kama yupo mwenye namba yake tafadhari naomba
 
Hili nalo ni vazi au ni marapurapu?

7abd9cddecc738464ad2f3291ab5a909.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom