Nafikiri siku atakayo onyesha nywele zake labda ccm itakuwa imeondoka madarakani.Yanakera hayo manyweleHua nachoka na hayo makatani kichwani, I wish siku awe na nywele zake
Sawa huenda ndo walivyo.Mpare wa Usangi
Kweli mkuu.Nafikiri siku atakayo onyesha nywele zake labda ccm itakuwa imeondoka madarakani.Yanakera hayo manywele
Safari Bado ni ndefu sana.Labda waseme kwa hivyo anavojiweka kama kikaragosi ila sio kwa ajili ya weusi wake.watu wanachuki sijawahi ona....dasa hizi lawama za mskalio meusi kama lami zinatoka wapi??huo weusi ni upi wa kumsimanga hivo..hiyo ni rangi yake halisi na kama usoni ni make up.
waswahili dawa yao kuwapuuza tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama dansa wa yondo cctaz bana! 1 ouf of 10
mpare wa arusha..ila kqkulua marekani miaka mingi sana hadi kamapiza elimu ya juu hukohuko..so msimshangae sana..marekani ndo imemharibu.Hivi Vanessa ni mtanzania wa kabila gani?
maunga na umalaya tu.kuimba kwenyewe wanajua.u western umewajaa tu.mwanamziki alikua chakachakaTuna kazi kubwa ya kupigana na utumwa wa kifikra. Kuna wanamuziki wengi wanaofanya vizuri na wanavaa nguo za heshima. Sasa hawa wanaovaa nguo kama wawakilishi wa SHETANI sijui lengo ni nini.
Sawa mkuumpare wa arusha..ila kqkulua marekani miaka mingi sana hadi kamapiza elimu ya juu hukohuko..so msimshangae sana..marekani ndo imemharibu.
Kumbe ni nguo nilijua kafikia kiwango chake cha muziki kumbe amevaa uchi kama yeyeVanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini
View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake
Hahaha, ccm=katani za vanessa πππNafikiri siku atakayo onyesha nywele zake labda ccm itakuwa imeondoka madarakani.Yanakera hayo manywele
ndio..ona binti mwingine aliezaliwa na tanzania na kwenda kusomea marekani kama vanessa[emoji116] baada ya graduation wazaz wake na familia wakamwandalia kaparty ka kumpongeza..hapo akiwa na baba mzazi(mh abbas mtemvu) na mamake mzazi ambae alikua diwani..Hv hawa wasanii wanaovaaga hivo,na wazazi wao huwa wanaona kweli au???
Hivi hiyu ana babake mzazi kweli.?Watu ijumaa tulikuwa kwenye maombolezo ya kuteswa kwa Yesu ye anapuyanga tu
We vmoney we we