Vanessa Mdee (Vee Money) aachia Niroge

halafu wimbo wa kawaida sana,ukiskiliza audio ina hadhi ya uswahilini uswahilini but ajabu video swaga za kizungu nyiiingiii...
 
Hii audio ipo moderate sn ukilinganisha na never ever!ila video swaaafi sn endelea kufata nyayo za kaka ako diamond,tupamoja nawe.
 
video ni nzuri ila wimbo sio mzurii ..inabidi awe mbunifuu maana naona ni Yale yalee tuu..aje kiviknginee tenaa hapo atabamba
 
Mziki mzuri.. Bongo imekua threat kwenye Music industry Africa.
 
yani ni vile tu kesha kuwa maarufu na ana hela ya kufanya video nzuri, lakini tukitoa unafki pemben, wimbo ni wakawaida sanaaa. ila hongera zake kwa kutoa wimbo mpya afu apunguze kujiweka mamakeup meng meng anaboa..! amkopy rihana ndo wanaeneana na siyo beyonce.
 
Vanessa kama Dimpoz

wameishiwa na melody wamebakiwa na video kali tuu...
 
Wimbo mkali ni ule unaimba,"kamata chini ooh kamatia chini oooh kamata chini ooh kamatia chini......"


maana naona hadi vitoto vya miaka 3 vinaimba huu mziki
Unajua maana ya hayo maneno?
 
kazi nzuri sana.

daah ila huyu dogo na uvaaji wake, mawigi ni changamoto chizi sio chizi
 
Yule mwanadada mwenye juhudi za kwenda anga za kimataifa leo ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la NIROGE. Ametoa audio na video kwa pamoja.

Audio imetengeneza na Nahreal
Video imepikwa na Justine Campos


Enjoy!
wimbo mbovu sana.. hata ndani ya sekunde mbili huwezi kutunga wimbo mchafu kama huu
Yule mwanadada mwenye juhudi za kwenda anga za kimataifa leo ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la NIROGE. Ametoa audio na video kwa pamoja.

Audio imetengeneza na Nahreal
Video imepikwa na Justine Campos


Enjoy!
wimbo mbovu sana hata ndani na sekunde tatu huwezi kutunga wimbo wa kipopompo kama huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…