Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
halafu wimbo wa kawaida sana,ukiskiliza audio ina hadhi ya uswahilini uswahilini but ajabu video swaga za kizungu nyiiingiii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Gadner..!Nyimbo kali kibibi (jide) kijipange la sivyo kitahadhirishwa na vitoto.
Unajua maana ya hayo maneno?Wimbo mkali ni ule unaimba,"kamata chini ooh kamatia chini oooh kamata chini ooh kamatia chini......"
maana naona hadi vitoto vya miaka 3 vinaimba huu mziki
Una funza kichwani weweNyimbo kali kibibi (jide) kijipange la sivyo kitahadhirishwa na vitoto.
Nimemtaja kutokana na muziki wake, lakini sijamuingiza kama unavyosema.Una unavyoropokwa sasa, komando kaingiaje sasa[emoji15] [emoji15]
Basi sawa..!Nimemtaja kutokana na muziki wake, lakini sijamuingiza kama unavyosema.
Asante.Una funza kichwani wewe
Yule mwanadada mwenye juhudi za kwenda anga za kimataifa leo ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la NIROGE. Ametoa audio na video kwa pamoja.
Audio imetengeneza na Nahreal
Video imepikwa na Justine Campos
Enjoy!
Yule mwanadada mwenye juhudi za kwenda anga za kimataifa leo ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la NIROGE. Ametoa audio na video kwa pamoja.
Audio imetengeneza na Nahreal
Video imepikwa na Justine Campos
Enjoy!