Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu demu nilikua namwonaga mjanja ila tangia aanze ku roll na kina ommy dimpoz mara sijui nani wa clouds fm nikajua nae ni walewale tu..
Kila shetanii na mbuyu wake..jaribu kumcheki millardayo atakupa kila details kuhusu huyu bibie..
Alivyozodolewa na Mpoki kwenye ile Kili awards nilifurahije anajifake sana kama kazaliwa Macau,kuna siku alikuwa anahojiwa na salama jabir kwenye mkasi ndo alinifanya nisiwe na interest naye kabisaa eti kinasema kilivyokuwa Italy kilikataa wazungu wengi sana wenye hela zao na angeweza kuwa kwenye CONDO yake kama angekubali mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Jana ungemuona Laveda wa BBA eatv,anaongea kiswahili kama cha wazungu ni shidaaaaaaaaaaa
Nilimsikia so so fresh ya clouds ya clouds usiku dem ana mikogo ya kidhungu si kawaida. Utadhani hajawahi kuishi bongo.
Ulimsikia channel ipii?? Mi nilidhan hajui kiswahili lakini akawa anaulizwa kwa kiswahili anajibu kwa kiingrezA, ,mpaka missago nimuona anashindwa tu kuchekaa
Jana ungemuona Laveda wa BBA eatv,anaongea kiswahili kama cha wazungu ni shidaaaaaaaaaaa
Ha ha ha ha,ushauri wa kufungia mwaka huu.katika kila bango la swichi oni lenye picha yake nawe weka bango lako lenye picha yako halafu kuwe na bonge la kopa lililotobolewa na mshale katikati na kuvuja vijidamu...
Kweli kila mtu na macho yake! Hadi yule anawatoa udenda kweli hakuna mwanamke mbaya
Wana jf habari zenu duh huyu dada wa swich on nampenda sana mnisaidie anae mfahamu zaidi kaolewa au bado yupo hewani? Tafadhali sana nisaidieni wadau nitakufa na presha nampenda kama akiupata ujumbe huu popote alipo aweke anuani yake hapa jf nihayo tu wadau