Vanessa Mdee

Vanessa Mdee

Bora angekuwa mstaarabu tu maana anavyoleta pozi wakati watu wanamdharau?Yani kajitia aibu halafu bado anajishebedua mbele za watu?mfyuuuuuu

Shogaa ulimuona laveda ule mzuka makelelee,au alikua kanywaa eee,,ana jicho zuriii Ray c cha mtotoii
 
Ckaelewagi kale kabinti kwa mbali kazuri nakama kadogo kakikusogelea USO umekomaaa mwli wa kitoto
 
Comments za wadau zimeniacha hoi...kwa hiyo wanawake wa kawaida hawastahili kupendwa? manake majibu ni ooh..umempendea nini...mbona wa kawaida sana...yadah...yadah....huko mtaani kwenyewe mbona wengi ni wa kawaida?
 
Miaka yote nilijua ni mkenya mpaka sasa naamini ni mtanzania mwenye asili ya Kenya

Mifupa tu watu kama hawa hawana utamu wala nini siwapendi

Hhhhhaaaa ni sawa na yule Salma msangi yaan kajiokondesha miguh inakaribia kua njiti
 
Ebanaeee its wise mtu umuone physically kabla hujaanza kufall in love na kutengeneza picha za wewe na yeye kuimba pamoja kwenye maua. Mimi nilibahatika kukutana nae whitesands kabla hajawa maarufu kwenye muziki akifanya kipindi cha dume msimu wa kwanza ebanaeee mwanzo nilijua labda mtoto wa primary kakosea njia nae yuko location. Sijamaliza kushangaa raia ndio wananiambia huyo ndio flani wa mtv nini sijui bila kuona tatoo mguuni ningeendelea kubisha kuwa ni mtoto wa msimbazi primary.

haha haha mkuu yule bunti kamwili kake shida tupu
 
Back
Top Bottom