miongoni mwa miili ambayo haina shukurani ni pamoja na wake, kakavu sana tena wa kawaida jina ndio linauza hapo.
Mi msichana hats awe mzuri kiasi gani kama hajafungasha mzigo huku nyuma, naona wa kawaida sana.
Mi napenda ile mizigo iliyojazia neema za Mwenyezi Mungu pande za nyuma.
Name kwa msingi huo Vanessa in MTU was kawaid sana.
Kweli kila mtu na macho yake! Hadi yule anawatoa udenda kweli hakuna mwanamke mbaya
Hahaha masaburi yanasaidiaga nn au no kama MTO hahahahaaaaaa
Mmmmh kuna watu mna dharau lakini tukiwatia machoni hatamaniki keaboard zinawaza kichwa weka picha yako hapa unakuta hata robo yake wala hufiki
Kweli kila mtu na macho yake! Hadi yule anawatoa udenda kweli hakuna mwanamke mbaya
Dada Flora kama kuna uwezekano ni PM namba yako nikutumie picha yangu whatsup
Mimi handsome hadi kero dada yangu u know
Kero Hadi aibu
My Caviar sema wewe manake wanafikiri kila mtu humu anafanana na mnyama pori atiiiiii
Hhhhhhhaaaaa
Wengine hatupendi misifa tuuuu lakini tukisema tuanze kuuza sura town hapa itakuwa ni sheeeeeeedahhh
Wasameheeeee basi
Nishawasamehe my caviar ila juzi ile issue ya Rio pale ilipofika ilinikera sana
Wapiii
Jamaa walivyoanza kumuandama mzee wa ubuyu kuwa naye ana mambo ya kishoga aaarggghhhh nilijisikia vibaya kishenziiii