Afadhali uncle Nisaidie kumuelewesha huyu jamaa, lolAcha chuki wewe, kama humjui Vannesa kaa kimya, Fatilia akina Gig money
Sent using Jamii Forums mobile app
1.Nobody but Me
Hutaweza kumuelewa vee km hitsong zenyewe n sample hizoo, sasa nkuambie hao wenyewe wenye hizo hitsong ulizozitaja wanataman wafike alipo Vanessa, ila wanabaki kuchechemea njiani, "vee money on the truck eeeh" kwa sauti ya cash Madame, woyooooooooooohNitajie Hitsong za Vannesa, mi naonaga ana nyimbo za kawaida tu, hana HIT. Napozungumzia Hitsong namaanisha kama IOKOTE-Maua Sama, KIVURUGE-Nandy
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau "Never Ever" ni bonge la song had wazungu wakamfanyia Re - I managed, chezea weyeeeeeeeeeee.1.Nobody but Me
2.Kisela
3.Come over
Hizo ni baadhi tu anazo hit nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kitu,. Achelewi kukutajia Wana ya ZuchuUsisahau "Never Ever" ni bonge la song had wazungu wakamfanyia Re - I managed, chezea weyeeeeeeeeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uncle taratibu basi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka had bas khaaaaah, huyo zuchu hana kityuh now promo kwsha anahaha hewan, labda akae hapo mbez beach kwa boss wake apike tu futari. Kiruuuuuuh
Hahahhaa kaibuliwa na ommy dimpozi juzi tuu hapa miaka 13 itoke wap sasa
Weee vee kaanza kabla ya "me n u" ft ommy, jua hilo piaNdicho kinanifanya nishangae...yeye na belle 9 au mond nan alitangulia kuwa kweny main stream..ndo kwanzo huyo ommy aliemtoa Mwaka huu anatimiza miaka 10 kwenye game
😃 hapana mkuu, au huwa hautegi sikio vizuri.Ana uwezo mkubwa wa kuimba kucheza na live performance zake tumeziona.Sema labda hauvutiwi na anacho potray na anavyo deliver, na hapa ndio huja ule msemo kila mtu na mtuwe.Kwa mfano Zuchu anaimba vizuri lakini binafsi kama sivutiwi na sanaa yake kwa sasa huenda baadae akanigusa.Kulikuwa na Dayna Nyange ni Artist lakini binafsi sikuwa navutiwa na sanaa yake.Huyu bibie alibebwa sana na clouds lakini kiuhalisia ni msanii wa kawaida sana.
Alikuwa anafany mixtape elewa basi khaaaHapo nyuma alikuwa mtangazaji si mwanamuziki
mfalme kiba orKATIKA MAISHA YANGU SIJAWAHI KUSIKIA MFALME ANADAIWA
[emoji2] hapana mkuu, au huwa hautegi sikio vizuri.Ana uwezo mkubwa wa kuimba kucheza na live performance zake tumeziona.Sema labda hauvutiwi na anacho potray na anavyo deliver, na hapa ndio huja ule msemo kila mtu na mtuwe.Kwa mfano Zuchu anaimba vizuri lakini binafsi kama sivutiwi na sanaa yake kwa sasa huenda baadae akanigusa.Kulikuwa na Dayna Nyange ni Artist lakini binafsi sikuwa navutiwa na sanaa yake.
Vanessa kurudi kwake itategemea anarudi vipi na mipango ikoje.Muziki siku hizi bidhaa zaidi,quality na quantity tu haitoshi kuna promotion na ndani yake mbinu mbalimbali.
Kweli huyo ni Vannesa mwenyewe, eti hakuna anayeweza kumpita, kwa lipi? Kwanza Vannesa hivi amewahi kutoa Hitsong?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize mkeo kama anaufahamu hata mmoja1.Nobody but Me
2.Kisela
3.Come over
Hizo ni baadhi tu anazo hit nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app