Vanessa ndo anapotea kwenye Ramani ya Mziki

Vanessa ndo anapotea kwenye Ramani ya Mziki

Kitu ambacho hamjui ni kwamba, baadhi ya wanawake wasipokaa chini na kutulia hawawezi kupata ujauzito. Labda dada anaona umri unaenda kaamua kukaa chini kutengeneza mtoto kwanza

Nawaza kwa sauti tu.
 
Kweli huyo ni Vannesa mwenyewe, eti hakuna anayeweza kumpita, kwa lipi? Kwanza Vannesa hivi amewahi kutoa Hitsong?

Sent using Jamii Forums mobile app
lol sasa msanii gan wa kike Bongo atakuja kumpita Vanessa? Heeeeeeeh stak kucheka mieee uwiiiii, tobaaaaah hitsong zoteee na album juu, khaaa jomoneeeee muachen tyuuh veee a,slide kashatusua yuleeeee.

Nitajie Hitsong za Vannesa, mi naonaga ana nyimbo za kawaida tu, hana HIT. Napozungumzia Hitsong namaanisha kama IOKOTE-Maua Sama, KIVURUGE-Nandy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom