KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Umesahau mstari wa mwisho: "Na mambo yanaishia hapo..." Ukishanyooshwa!Mbowe alikuwa anatingisha kibiriti. Chadema hawakuonyesha uungwana katika hatua mama alizokuwa anafanya za kuondoa magerezani wanachama wa chadema. Badala ya kushukuru wakaja na kejeli.
Siasa ni uungwana. Usipokuwa muungwana lazima unyooshwe.
Mtakuwa ni watu wenye bahati sana nyinyi mnaonyoosha wengine "kuwanyoosha hao" safari hii.