KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Umesahau mstari wa mwisho: "Na mambo yanaishia hapo..." Ukishanyooshwa!Mbowe alikuwa anatingisha kibiriti. Chadema hawakuonyesha uungwana katika hatua mama alizokuwa anafanya za kuondoa magerezani wanachama wa chadema. Badala ya kushukuru wakaja na kejeli.
Siasa ni uungwana. Usipokuwa muungwana lazima unyooshwe.
Yule mwehu wa Mbozi kawaponza wenzake, alitolewa kama hisani badala yake akageuka kwa kuleta kejeli na matusi sasa ndio watamjua mama, kwa sasa kaufyata tuone tena kama atarudia kejeli zake,mwenyekiti wake ndio huyo anayea debe.Anauchapa tu nasikia kelele za chura hazimzuii mtu kusinzia wala ng'ombe kunywa maji
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mbowe alikuwa anatingisha kibiriti. Chadema hawakuonyesha uungwana katika hatua mama alizokuwa anafanya za kuondoa magerezani wanachama wa chadema. Badala ya kushukuru wakaja na kejeli.
Siasa ni uungwana. Usipokuwa muungwana lazima unyooshwe.
Hivi angewaacha akina Mbowe et-al wakaongea kisha jioni wakarudi kwa wake zao ingeleta athari gani?Huyu mama sijui kama sasa hivi anapata usingizi usiku!
Manake kila kona sasa hivi anapondwa tu.
Huyu mama sijui kama sasa hivi anapata usingizi usiku!
Manake kila kona sasa hivi anapondwa tu.
Rubbish, haki haiombwi. Ndilo tatizo la Lumpen kama ny.nyi. Nayeye atakufa kama magufuli, it is a matter of time. Unadhani Mungu amesahau?
Na sidhan kama alitegemea hayaHuyu mama sijui kama sasa hivi anapata usingizi usiku!
Manake kila kona sasa hivi anapondwa tu.
aiseeeeeeeeeHuyu mama wa kambo tunatakiwa tumuue kama tulivyomuua yule baba wa kambo kutoka Chato.
Kumuita Mama Samia, "the wicked stephmother" sio kumtendea haki!, haswa kwa kuzingatia ameupata urais as step president, kwasababu, mwenye urais wake kaitwa ghafla mbele ya haki.Habari wanajamvi,
(I have read this publication from the Vanguard Africa Foundation website and I am eager to share with you. Thanks!)
View attachment 1870847
the wicked stepmother.
Source:
How ‘Mama Samia’ Morphed into Tanzania’s Wicked Stepmother — Vanguard Africa
Many in Tanzania, and around the world, were hopeful that President Samia Suluhu Hassan would usher in a new era of democratic reform and human freedom in a country that desperately longed for it. That optimism was quickly quashed when the political opposition was ruthlessly targeted. Acclaimed humwww.vanguardafrica.com
Alishatahadharishwa na aliyekuwa rais mwanamama sina uhakika km huyu jiran yetu au yule wa liberia kuwa kazi ya urais itamfanya awe mpweke utajitahid kufanya unayoyaona ni sahih lkn kuna watu watakunanga na ni kweli alishaanza kurekebisha kesi zote ambazo hazikuwa sawa na inawezekana alitumia nguvu kubwa kuwahimiza wahafidhina waandamiz ili mradi kubadili mfumo kiujumla wake na wengi walinufaika na maamuz hayo lkn akatokea DJ akaanza kumpiga mikwara mbuzi mwishowe wahafidhina wamepata hoja ya kushawish matakwa yao.Huyu mama sijui kama sasa hivi anapata usingizi usiku!
Manake kila kona sasa hivi anapondwa tu.
Haijui siasa ndiyo maana alikuwa anasifia kwa kuongozwa na shallow feminism tuNa alikuwa anampamba na mapambio yote [emoji1787]
Hawajui kwamba repression hii ni kwajili ya ccm survival na siyo Samia survival.Miezi kama miwili hivi iliyopita alisema eti ana imani na Samia [emoji1787]
Na waliomkamata Mbowe hawakuwa polisi ni green guardMiezi kama miwili hivi iliyopita alisema eti ana imani na Samia [emoji1787]
Ndiyo ndiyo!aiseeeeeeeee
Na waliomkamata Mbowe hawakuwa polisi ni green guard
Miezi kama miwili hivi iliyopita alisema eti ana imani na Samia 🤣
Hatumpondi huo ni ukwelHuyu mama sijui kama sasa hivi anapata usingizi usiku!
Manake kila kona sasa hivi anapondwa tu.
Hatumpondi huo ni ukwel