VanguardAfrica: How "Mama Samia" Morphed into Tanzania’s Wicked Stepmother

Mbowe alikuwa anatingisha kibiriti. Chadema hawakuonyesha uungwana katika hatua mama alizokuwa anafanya za kuondoa magerezani wanachama wa chadema. Badala ya kushukuru wakaja na kejeli.

Siasa ni uungwana. Usipokuwa muungwana lazima unyooshwe.
Uungwana upi?

Wa kuendelea kuchezea uchaguzi mbagala?

Project za uchaguzi kigoma kwanini alishindwa kuwahakikishia uchaguzi huru washiriki?

Huyu bibi ndiye alianzisha ukorofi kwanini aliwasikiliza ccm badala ya kufanya muafaka wa kitaifa? Kwa kukutana na wapinzani mapema ?

Unakutanaje na vijana wakati ujakutana na wapinzani wakati unajua kulikuwa na mgogoro na hao vijana ndio % kubwa ni wafuasi wa upinzani?

Unamtete mtu wa namna hii?
 
Huyu mama sijui kama sasa hivi anapata usingizi usiku!

Manake kila kona sasa hivi anapondwa tu.
Hana sifa za kuwa kiongozi mkuu wa nchi, katiba yetu mbovu inatupatia viongozi wabovu
 
Literary Kamuweka Mbowe Kizuizini.

It seems kwamba huyu mama akiwekwa under pressure anaweza kufanya mambo ya ajabu mpaka tukashangaa.

She is treading where Magufuli didn't step!

More than that.

Nilichogundua, anafume haraka na anajibu haraka.

Mkimya lakini ana hasira za karibu
 
Miezi kama miwili hivi iliyopita alisema eti ana imani na Samia 🤣

Alikuwa sahihi kutoka na muelekeo alioanza nao. Na sasa yuko sahihi kutokana na "Morphism" ya mama.

Kusifia na kukosoa ni wajibu wetu mkuu, siyo kukosoa tu
 
I It does not matter whatever you lebel or say about her. She must follow the revolutionary path of chama cha mapinduzi which has economic development based on equal oppurtunity to all citizens as the priority.
 
Mambo yanaenda kasi sana,bado nina imani na mama yetu.
 
Huyu mama asingeweza kufika mbali kwa kueneza utawala wa haki. Utawala wa haki alioanza kuuonyesha Siku 100 za mwanzo ilikuwa ni kaa la moto kwa CCM ambayo katika utawala wa haki, usio tumia nguvu ya jeshi ya ukandamizaji, haiwezi hata kupata mbunge mmoja huku TZ bara.
Hivyo CCM lazima ingemlazimisha atumie jeshi kukandamiza wale wote wenye ushawishi nchini ambao wapo kinyume na CCM.
CCM bila jeshi ni sawa na kujitoa madarakani (kwenye ulaji)
 
Mambo yanaenda kasi sana,bado nina imani na mama yetu.
Laana iliyompata mwenziwe, ipo mlangoni pake.
Ameyajua makosa ya mwenziwe, akapata nafasi ya kurekebisha ila yeye hakutaka, akanogewa na dhulma. Ajiandae!!!!
 
Mbowe alikuwa anatingisha kibiriti. Chadema hawakuonyesha uungwana katika hatua mama alizokuwa anafanya za kuondoa magerezani wanachama wa chadema. Badala ya kushukuru wakaja na kejeli.

Siasa ni uungwana. Usipokuwa muungwana lazima unyooshwe.
Na hilo wanastahili.
 
Ominously, however, Suluhu denied a meeting with leaders of Tanzania’s political opposition, including the chairman of the largest opposition party, Freeman Mbowe.
Huu ni uongo unaopaswa kukemewa.

Mnapata faida gani kusambaza uongo wa namna hii?? Hakika Hayati Magufuli alikuwa sawasawa kabisa namna alivyo-deal na hawa wahuni wa kisiasa.
 
Unaongelea siasa zipi? Za Banana Republics au nchi za kidemokrasia zilizostaarabika?
Mbowe alikuwa anatingisha kibiriti. Chadema hawakuonyesha uungwana katika hatua mama alizokuwa anafanya za kuondoa magerezani wanachama wa chadema. Badala ya kushukuru wakaja na kejeli.

Siasa ni uungwana. Usipokuwa muungwana lazima unyooshwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…