Vanilla; yafika $600 kwa kg 1 ikiyapiku madini ya silver yanayouzwa $550 kwa kilo

Kila mmoja dalali na tapeli
Yaani akisikia hela anaitaka bila kazi

Sent from my SM using Tapatalk
Hiyo ndy shida....hata mimi nimekutana na hiyo kwenye kazi ya iliki
Vp vanilla direct buyers wanapatikana mfumo wa biashara ukoje mkuu....
Itabidi tupeane contacts mkuu nataka kufahamu zaidi kuhusu vanilla!
Nipe mwangaza kidogo.....si unajua tena sisi wengine wa kuchungulia fursa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unataka uki Google wauzaji wa vanilla Madagascar utawapata wapo.
Kama upo Tanzania ni rahisi zaidi kwenda kabisa na kujuana nao

Mimi niliwasiliana na jamaa baada ya mda wa masaa kadhaa alikuwa ameisha nipatia details zote mpaka certificates za importation na bei zote mpaka nilipo.

Ila zao lingine pia na deal nalo ni zao ghali duniani

Huoni hata dunia haitufatilii sana ingawa tuna kila kitu?
UAMINIFU MKUU

Sent from my SM using Tapatalk
 
Tuna MATATIZO mkuu!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntakuja kufanya research kuhusu vanilla hapa tz....
Lakini mbona kama Kagera hawatili mkazo zao hilo?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kagera siku hizi wamiliki wanalala mashambani na mapanga wanalinda vanilla zao. Huko Uganda hadi askari wameajiriwa na watu binafsi wawalindie mashamba yao ya Vanilla.

Sio vanilla tena siku hizi ni Madini mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwakumbushe tu….

Kabla hamujaanza kulima inabidi mjua vanilla inachukua muda toka kupandwa mpaka kuvunwa, maeneo inayoweza kusitawi vizuri TZ, breeds zake, magonjwa na dawa zake bila kusahau process za soko.

Isije fika wakati mnavuna kilo ikawa ni sh. 300

Kila la Kheri wakulima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepitia comments zote nlijua nitakutana na gharama za uzalishaji, mbegu, changamoto, udongo gani, kipindi gani inahitaji maji au jua pesticides n.k aaa mmeniangusha gt.
Mimi najua matumizi yake kuweka kwenye keki, chai ya maziwa harufu kumbe ni dawa na gharama
 
Ndiomana matajari wengi kuliko masikini
 
Ndio ujiroge ukalime utashangaa hutaweza ipata hiyo bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…