Vanilla; yafika $600 kwa kg 1 ikiyapiku madini ya silver yanayouzwa $550 kwa kilo

Vanilla; yafika $600 kwa kg 1 ikiyapiku madini ya silver yanayouzwa $550 kwa kilo

Niwakumbushe tu….

Kabla hamujaanza kulima inabidi mjua vanilla inachukua muda toka kupandwa mpaka kuvunwa, maeneo inayoweza kusitawi vizuri TZ, breeds zake, magonjwa na dawa zake bila kusahau process za soko.

Isije fika wakati mnavuna kilo ikawa ni sh. 300

Kila la Kheri wakulima

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepitia comments zote nlijua nitakutana na gharama za uzalishaji, mbegu, changamoto, udongo gani, kipindi gani inahitaji maji au jua pesticides n.k aaa mmeniangusha gt.
Mimi najua matumizi yake kuweka kwenye keki, chai ya maziwa harufu kumbe ni dawa na gharama
Nasubiri majibu haya,ili nifanye maamuzi magumu,uzuri kagera na hm Ngara si mbali

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Mzee wangu alipandaga hii kitu longtime baada ya kungo'a makahawa akaniambia ni vanila, baada ya kufariki wakati flan nkaenga kilage nkakuta imeza nkaja nkaulizia bila kupata soko........

The time napata njia nkaenda kuchek nkakuta jamaa ameikata kata umebaki mashina mawili....
IMG_20180701_143357.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimelizungumzia sana hili la vanilla katika uzi mmoja humu

Tunanunua na kuuza lakini kwa bongo nilinyanyua mikono
Wauzaji wa Madagascar ni ku wire hela mzigo unapokea unaambiwa kabisa au ijia mwenyewe

Bei ndio hiyo mkuu lakini nashangaa kwetu kilo mwisho ilikuwa 3.5k tsh @kg

Lakini utapigwa bla bla nyingi



Sent from my SM using Tapatalk
Hatutaki kifuatilia bei, yupo bussy kuwanunua kina waitara
 
Mngeweka detail hapa ya upandaji wake hadi kuvuna ingekuwa poa sana. Na gharama za utunzaji, isijekuwa issue za mayai ya kware yanalipa sana [emoji848]
 
Back
Top Bottom