Vanilla; yafika $600 kwa kg 1 ikiyapiku madini ya silver yanayouzwa $550 kwa kilo

Nasubiri majibu haya,ili nifanye maamuzi magumu,uzuri kagera na hm Ngara si mbali

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Mzee wangu alipandaga hii kitu longtime baada ya kungo'a makahawa akaniambia ni vanila, baada ya kufariki wakati flan nkaenga kilage nkakuta imeza nkaja nkaulizia bila kupata soko........

The time napata njia nkaenda kuchek nkakuta jamaa ameikata kata umebaki mashina mawili....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutaki kifuatilia bei, yupo bussy kuwanunua kina waitara
 
Kuna mama mmoja wa kiarusha analima vanila maeneo ya Tengeru....Aliniambia amepata soko Ulaya na inalipa sana..ngojea nimfuatilie zaidi
Mkuu ukitupa mrejesho itapendeza....

Information age.
 
Mngeweka detail hapa ya upandaji wake hadi kuvuna ingekuwa poa sana. Na gharama za utunzaji, isijekuwa issue za mayai ya kware yanalipa sana [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…