Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
CCM imefanya kosa kubwa sana la kiufundi kuivalia njuga agenda ya Bandari, it's a total political miscalculation.
Chama kilipaswa kuiachia serikali zigo lake na kuipa maelekezo itoe ufafanuzi yenyewe. Sasa leo CCM ndio imeingia frontline kutoa ufafanuzi na kuikingia kifua DP World, Kama msimamizi wa serikali, Chama hakikupaswa kufanya kinachofanya maana suala la DP World kupasuka lipo tu kama sio leo basi kesho.
Leo tunaweza kushinda kwa kuigeuza propaganda ya kisiasa Lakini in the long run ikitokea shida CCM itajificha wapi?, itamlaumu nani? Itamtoa kafara nani?
Suala la DP world ni suala la mkataba wa serikali, Chama kingeiachia serikali ikapambana nalo--- elimu ingetolewa na watendaji wa serikali kwa wananchi, maana serikali inao watendaji hadi kwenye vitongoji na mitaa Lakini Leo elimu inatolewa kwa wana CCM pekee kwenye vikao au na Mikutano ya wabunge.