Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
mkuu city aliuwawa kipa Kala nyanya wakat alikuwa anamkwepa jamaa afu ukizingatia dk za mwanzo kabisa VAR ilitakiwa ifanye Kaz kipa apigwe njano maisha yaendeleeMwisho wa siku, hata ulie vip humu jf, liverpool kashachukua epl, uzur liverpool wakibebwa huwa wanabebeka tofaut na hizo timu nyingine mfano city, juzi alibebwa lakin wapi,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app