VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana

VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana

VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana pamoja na kwamba liverpool wana timu bora na wanatakiwa kuwa mabigwa ila wanabebwa sana na VAR angalia mechi yao inayoendelea. duh.
Aiseeeh
Virgil-van-Dijk-handball-in-Liverpool-vs-Wolves-2f47.jpeg
Screenshot_20191229-235456.jpeg
Screenshot_20191230-000539.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliangalia game ya Liverpool na Aston Villa kwenye EPL, Roberto Firmino alifunga goli VAR ikasema sio goli.

Kwani ile game ya Liverpool na Man U Origi alivyokwatuliwa halafu mpira ukaelekea kwa Liver kisha Liver wakafungwa VAR iliwabeba Liver?

Tuwe tuna balance matukio, kama ingekuwa wanabebwa kama mnavyoamini ilitakiwa Waamuzi na wanaokuwa control room ya VAR waadhibiwe maana sio Liver wanaotoa hayo maamuzi au mlitaka Liver wakatae magoli yanayoamuliwa na VAR?
Vaa ni ufala tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VAR inawapa favor zaidi liverpool kwa sasa japo kuwa wana kikosi bora kuliko timu nyingine yoyote Epl na binafsi naamini hata bila haya makandokando ya VAR bado wangeweza kuchukua ubingwa. Ila EPL wangejitahidi kupunguza interest za kibiashara zaidi na wa balance bussiness na burudani kwa pamoja kuliko huu mtindo wa kuyapanga matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VAR ni haki bini haki.
Mfumo ukishasetiwa huwa haufanyi kazi kwa maelekezo ya kila mtu vile anavyotaka yeye.

Huo mfumo wa VAR kabla ya kuanza kutumika walikaa experts wa masuala ya mifumo ya Kompyuta na Mpira wakaona upo poa. Inakuwaje wewe mtoto wa Buza uone una kasoro?

Nendeni mkaanzishe Mifumo yenu iwabebe nyie [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom