DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
AiseeehVAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana pamoja na kwamba liverpool wana timu bora na wanatakiwa kuwa mabigwa ila wanabebwa sana na VAR angalia mechi yao inayoendelea. duh.
Sent using Jamii Forums mobile app