Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
mkuu city aliuwawa kipa Kala nyanya wakat alikuwa anamkwepa jamaa afu ukizingatia dk za mwanzo kabisa VAR ilitakiwa ifanye Kaz kipa apigwe njano maisha yaendeleeMwisho wa siku, hata ulie vip humu jf, liverpool kashachukua epl, uzur liverpool wakibebwa huwa wanabebeka tofaut na hizo timu nyingine mfano city, juzi alibebwa lakin wapi,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ARV haina cha tumswalie mtume kila mmoja atakula kwa jasho.acha kabisa mkuu gori la Liverpool LA kushika na mikono limefutwa gori LA mbwa mwitu mtu kazidi kidore kimoja cha mkono Tena bora Ata ingekuwa mguu limefutwa
Na wewe kapange yako!!
mkuu r na l mpaka kesho utaendelea kuwa ugonjwa kweny matumiz duu nimesoma mpak nimecheka mwenyew 😂Duh mkuu hizo r zinapotumika ni tatizo
Mfumo ukishasetiwa huwa haufanyi kazi kwa maelekezo ya kila mtu vile anavyotaka yeye.mkuu city aliuwawa kipa Kala nyanya wakat alikuwa anamkwepa jamaa afu ukizingatia dk za mwanzo kabisa VAR ilitakiwa ifanye Kaz kipa apigwe njano maisha yaendelee
🤣🤣🤣mfumo umenikosesha ela ilikuwa GG kabisaMfumo ukishasetiwa huwa haufanyi kazi kwa maelekezo ya kila mtu vile anavyotaka yeye.
Huo mfumo wa VAR kabla ya kuanza kutumika walikaa experts wa masuala ya mifumo ya Kompyuta na Mpira wakaona upo poa. Inakuwaje wewe mtoto wa Buza uone una kasoro?
Nendeni mkaanzishe Mifumo yenu iwabebe nyie 😂😂
Toka ligi ianze hakuna magoli yaliyofungwa na liver VAR ikayakataa na yakafutwa?
Daaah!!🤣🤣🤣mfumo umenikosesha ela ilikuwa GG kabisa
Hata njano, hakustahili!mkuu city aliuwawa kipa Kala nyanya wakat alikuwa anamkwepa jamaa afu ukizingatia dk za mwanzo kabisa VAR ilitakiwa ifanye Kaz kipa apigwe njano maisha yaendelee
lakn van D na lalana wamedaka mpira ndo wakampa mane akafunga cha ajab ARV ikaweka mpira katiARV haina cha tumswalie mtume kila mmoja atakula kwa jasho.
Pukki na Tottenham alionyesha kwa kidole awekewe, Ile kufunga tu kidole kikaonekana kwenye ARV. Mzungu hataki uonevu wala ujanjaujanja zama zenu zimekwisha 😁😁
Kama uliangalia game ya Liverpool na Aston Villa kwenye EPL, Roberto Firmino alifunga goli VAR ikasema sio goli.Toka ligi ianze hakuna magoli yaliyofungwa na liver VAR ikayakataa na yakafutwa?
Kwani VAR imetengenezwa kwaajili ya kukataa magoli ya Liver au kumsaidia Mwamuzi kufanya maamuzi pale anapohisi anahitaji Msaada?
Nashangaa sana aiseeMashabiki wa man u bhana, origi alipokatwa wakapiga counter na kupata goli hata hawakuongea kitu kisa maamuzi ya var yaliwabeba, juzi Man City maamuzi ya var yakimbeba watu kimya. Ila ikitokea kwa liver ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi juwa we jamaa ni mjinga hivi
Eti VAR ilianzishwa for liverpoolMfumo ukishasetiwa huwa haufanyi kazi kwa maelekezo ya kila mtu vile anavyotaka yeye.
Huo mfumo wa VAR kabla ya kuanza kutumika walikaa experts wa masuala ya mifumo ya Kompyuta na Mpira wakaona upo poa. Inakuwaje wewe mtoto wa Buza uone una kasoro?
Nendeni mkaanzishe Mifumo yenu iwabebe nyie [emoji23][emoji23]
Sasa ujinga uko wap apo? Ni suala la kujibu tu swali. Ok enewei nashukuru piaSikuwahi juwa we jamaa ni mjinga hivi
From today i won't have any argument with you concerning football aisse
God forbid
Sent using Jamii Forums mobile app