VAR si ya kuichekea, inaharibu Soka

nyie simlisema var niya liverpool
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. VAR technology niliichukia jana wakati Giroud alipofunga goli safi kabisa lakini VAR akakataa kwa kuwa Giroud alizidi kiganja cha mguu tu ijapokuwa sehemu zote za mwili zilikuwa onside. Kweli technology ya VAR imahitaji maboresho makubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hizi za dunia ya 3 kutumia VAR bado sana. Unakumbuka VAR ilishindwa kufanya kazi kwenye fainali ya CAF na kupelekea mechi kuvunjika na kutolewa ushindi wa mezani? Sisi waswahili bado sana kwenye matumizi ya VAR.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Jana mechi ya Uefa Atretico na Liverpool watu wameunawa mpira wazi wazi zaidi ya mara 3 lakini wala hawajaangalia ila goli likifungwa lazima wafanye goal check
Goli la jana nalo lilihakikiwa kwanza ndio baadae watu wakaambiwa haya sasa mnaweza kushangilia!!
Lakini kwenye hand ball amabazo zingine zilikua ni possible penalty shoot out jamaa waamuzi wale wa Var wakafunika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…