Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema kweli lile goli lina viashiria vya offside, hata hivyo halinihusu.Refa kala mlungula. Achunguzwe
Safari bado ndefu afrika.Poleni simba hizo ndio fitina, Mlitafuta wenyewe sasa watu wamewaonyesha
Kocha wao analalamika kama mwanamke, anaongea hata hana uhakika.Naskia mli izima ilivyo kua Bongo teh teh
Muoshwa uoshwa wakae kimya kabisa, wametupwa nje ya michuano akuna kutafuta sababu za ovyo ovyo waliyataka wenyewe sasa yamewarudiaPoleni simba hizo ndio fitina, Mlitafuta wenyewe sasa watu wamewaonyesha