VAR yaonyesha Goli la Orlando Pirates ni offside dhidi ya simba lakini Refa akataa kutumia VAR

VAR yaonyesha Goli la Orlando Pirates ni offside dhidi ya simba lakini Refa akataa kutumia VAR

Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.
Halafu tabia ya kuwashabikia wageni kwa nguvu hapa Tanzania walianza Simba kile kipindi Yanga wanacheza sana kimataifa. Nakumbuka mpaka ilileta mgogoro kati ya Yanga na TFF Yanga, hayo yote watu wamesahau. Hata hii ya Yanga kuanza kuwapokea wageni Airport ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa Simba, miaka ya nyuma hali haikuwa kama ilivyo sasa. Nafikiri mashabiki wa pande zote wanatakiwa kubadilika.
 
Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
kwa madiba
 
RS Berkane Walikataliwa Goli Lao Halali Pale Kwa Mkapa Na Wachezaji Wa Simba Wakishupalia Kuwa Mfungaji Aliotea Kwaio Ni Mambo Ya Kawaida Kutokea Kwenye Football Makosa Ya Kimaamuzi Ya Hapa Na Pale Ni Muhimu Kuleta Ladha Kwenye Mchezo Kama Yakikunufaisha [emoji4], But All In All Karma Is Real [emoji41]
 
Unaitafsiri vibaya; hao wawili walikuwa offside, lakini aliyefunga bao hakuwa offiside. In fact staff wa VAR baada ya kuangalia tukio lote mara kadhaa ndio walimwambia refree kuwa hiyo siyo offside, ndiyo maana hata refa hakwenda kuiangalia video yenyewe.

Ila Manula kanifurahisha sana kuzuia penalt moja ingawa yule Inonga alitumia nafasi ile vibaya.
 
Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Umeandika hivyo bila shaka hata kiasi wanachochukua Simba hukijui halafu unasema ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano. Bingwa wa ligi kuu msimu anapokea milioni 500, wakati Simba inachukua usd 350,000 ambayo ni sawa na milion 815
 
Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.
Mlikuwa hatua gani??[emoji848][emoji848]
JamiiForums-277588080.jpg
 
Wewe ongelea goli na offside na mwingine ataongelea handball ya Kapombe.
Handball gani aliyoicheza kapombe?

Ile ya bega ndio mnaita handball?

Sheria za mpira mbona ziko wazi sana

1650836109371.png
 
Hii uliona peke yako? Mimi sipofushwi na mapenzi. Kama ingekuwa ni hivyo mpira usingesimama DK 2 kusubiri maamuzi.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Usilete ubishi kiholela na usipindishe ukweli kwa kujinasibu huna mapenzi na timu

Weka clip hapa ambayo inaonesha mpira ulimgonga eneo tofauti na bega
 
Wenzetu washazizoea VAR na huwa wanashinikiza refa akaangalie wakiona kuna utata. kwetu halifanyiki
 
Sasa tucheze na kaizer chief na Orlando pirates na al ahly tuiogope yanga kweli lucky emel hakukosea kuwaita vile.
Mlimfunga lini kwenye ligi? Wakati unamfunga Al Ahly ulimfunga Yanga? ... Ndo utambue kuna mipaka. Kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.
 
Back
Top Bottom