Halafu tabia ya kuwashabikia wageni kwa nguvu hapa Tanzania walianza Simba kile kipindi Yanga wanacheza sana kimataifa. Nakumbuka mpaka ilileta mgogoro kati ya Yanga na TFF Yanga, hayo yote watu wamesahau. Hata hii ya Yanga kuanza kuwapokea wageni Airport ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa Simba, miaka ya nyuma hali haikuwa kama ilivyo sasa. Nafikiri mashabiki wa pande zote wanatakiwa kubadilika.Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.