VAR yaonyesha Goli la Orlando Pirates ni offside dhidi ya simba lakini Refa akataa kutumia VAR

VAR yaonyesha Goli la Orlando Pirates ni offside dhidi ya simba lakini Refa akataa kutumia VAR

Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Kwahiyo kwenda kucheza hizo mechi Simba huwa inapanda bajaj?
 
Handball gani aliyoicheza kapombe?

Ile ya bega ndio mnaita handball?

Sheria za mpira mbona ziko wazi sana

View attachment 2199507
Unatumia nguvu nyingi sana wakati mpira ni mchezo wa wazi kila mtu anaona. Kilichotumika pale ni busara ya kukwepa lawama kwa sekunde zilizobakia. Ila ulichokiweka wewe na kilichotokea kwa Kapombe ni tofauti.
Screenshot_2022-04-25-07-13-38-015_org.mozilla.firefox.jpg
 
Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Unajifariji maana shabiki hafaidiki napesa kikubwa afrahi na ushindi.
 
Simba hatukuwa na wachezaji wa kulazimisha draw
 
Back
Top Bottom