Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwahiyo kwenda kucheza hizo mechi Simba huwa inapanda bajaj?Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Unatumia nguvu nyingi sana wakati mpira ni mchezo wa wazi kila mtu anaona. Kilichotumika pale ni busara ya kukwepa lawama kwa sekunde zilizobakia. Ila ulichokiweka wewe na kilichotokea kwa Kapombe ni tofauti.Handball gani aliyoicheza kapombe?
Ile ya bega ndio mnaita handball?
Sheria za mpira mbona ziko wazi sana
View attachment 2199507
Unajifariji maana shabiki hafaidiki napesa kikubwa afrahi na ushindi.Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Walikuwa hawajaanza kushabikia mpira.Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.
Siyo wamesahau, walikuwa hawajaanza kushabikia mpira, hao ni mashabiki wa kuanzia mwaka 2019.Haaahaa,,wamesahau