Vasectomy inataka kuleta balaa!

Vasectomy inataka kuleta balaa!

Nafikiri Bishanga jamaa yako alifanya makosa sana kufanya vasectomy hata kama alikuwa anasema hataki kuzaa tena sababu siku zote unayowaza leo siyo utakayotenda kesho mambo yanabadilika halafu jamaa yako ameuchuna huyo jamaa yako namuona kama vile muuaji, halafu uko India mbona mbali sana wakati hata hapo South Africa wanafanya kuna rafiki yangu alifanya kule South Africa leo hii mtoto anauliza baba yake yuko wapi anashindwa amwambie nini

Bora umerudi maana jukwaa lilipiooza sana sana
Halafu ukome kwenda kwa watu
 
Nafikiri Bishanga jamaa yako alifanya makosa sana kufanya vasectomy hata kama alikuwa anasema hataki kuzaa tena sababu siku zote unayowaza leo siyo utakayotenda kesho mambo yanabadilika halafu jamaa yako ameuchuna huyo jamaa yako namuona kama vile muuaji, halafu uko India mbona mbali sana wakati hata hapo South Africa wanafanya kuna rafiki yangu alifanya kule South Africa leo hii mtoto anauliza baba yake yuko wapi anashindwa amwambie nini
ndugu yangu mambo ya mahusiano ni magumu sana,mwingine anauchuna kutoa taarifa muhimu akiogopa itaathiri mahusiano na matokeo yake ndo haya. Mkuu hujawahi kusikia mwanamke ambaye tayari ana mtoto wa ujana akichumbiwa anauchuna hamwambii jamaa yake hadi vinapokuja kubumbuluka baadae wakati tayari yuko ndani ya ndoa? ndoa hizi,we acha tu!
 
Sasa biashara ya watoto wote wameoa na kuolewa na then nabaki na mama nyumbani si bora nitafute wa uzeeni kaka zake na dada zake watamsomesha
hahahahahahahaha si mpaka wawe na uwezo huo na utashi?
 
Bishanga kama kila mmoja kwenye ndoa akitekeleza majukumu yake ndoa zitakuwa nzuri sana
Ila tatizo kila mmoja anaficha makucha na anaficha madhaifu yake na vimeo vyake
matokeo yake vikifumuka ni issue kubwa sana
 
ndugu yangu mambo ya mahusiano ni magumu sana,mwingine anauchuna kutoa taarifa muhimu akiogopa itaathiri mahusiano na matokeo yake ndo haya. Mkuu hujawahi kusikia mwanamke ambaye tayari ana mtoto wa ujana akichumbiwa anauchuna hamwambii jamaa yake hadi vinapokuja kubumbuluka baadae wakati tayari yuko ndani ya ndoa? Ndoa hizi,we acha tu!
jamaa anao watoto wa ngapi? Amwambie ukweli dada wa watu azae bwana? Kwani hawajawai kwenda wotekupima hosptal? Maana majibu yatasaidia kuweka ukweli hadharani
 
Nafikiri Bishanga jamaa yako alifanya makosa sana kufanya vasectomy hata kama alikuwa anasema hataki kuzaa tena sababu siku zote unayowaza leo siyo utakayotenda kesho mambo yanabadilika halafu jamaa yako ameuchuna huyo jamaa yako namuona kama vile muuaji, halafu uko India mbona mbali sana wakati hata hapo South Africa wanafanya kuna rafiki yangu alifanya kule South Africa leo hii mtoto anauliza baba yake yuko wapi anashindwa amwambie nini

Mabusara yako leo nayakubali sijui maphotoooosssssssss yanakupa nguvu ya ziada ha ha ha (Usinitoe macho natania tu wajameni)
 
Mhhhh!!! kweli huyo mwanaume ana roho mbaya haswaa!!! Kwanini usimwambie rafiki yako anavyofanya sio vyema, amweleze mke wake mwenyewe.
Huyo mdada, kama wengine walivyosema, nafikiri ni vizuri aongee na huyo mume wake............hivi kwani hawawezi kuchukua za mumewe wakampandikiza????!!!
 
Namtwanag tena vizuri sana yaani nyie wanaume feki sana (Msinitoe macha wajameni)

kwani feki kidogo?? sasa jitu limeoa linakaa na mwanamke for al those yrs anashindwa kumwambia ukweli kuwa mkewe alishanya hiyo vctmy?? wanapoteza hela zote huko kwenye mahospital na kuwaste time na kumpa mwenzie fake hope anatumia midawa bila sababu za msingi,this serious ridiculous ,anaweza akauwa huyu jamaa aisee! aseme ukweli kwa mkewe then kama kupandikiza iwe mbegu za huyo jamaa agrrrrrr!
 
ndugu yangu mambo ya mahusiano ni magumu sana,mwingine anauchuna kutoa taarifa muhimu akiogopa itaathiri mahusiano na matokeo yake ndo haya. Mkuu hujawahi kusikia mwanamke ambaye tayari ana mtoto wa ujana akichumbiwa anauchuna hamwambii jamaa yake hadi vinapokuja kubumbuluka baadae wakati tayari yuko ndani ya ndoa? ndoa hizi,we acha tu!
Bishanga kitu ambacho kinanishangaza kwa huyu jamaa achilia mbali hiyo ya kutosema, yaani alishikwa hasira kiasi kwamba hadi aliamua kufanya Vasectomy ili asizae?? Such things iko siku vinagundulika bila hata yeye mwenye kujua na hapo ndipo itakapokuwa timbwili aisee siwezi kufikia hatua hiyo ya kwenda kufanya such a thing
 
Mabusara yako leo nayakubali sijui maphotoooosssssssss yanakupa nguvu ya ziada ha ha ha (Usinitoe macho natania tu wajameni)
Mimi nitaendelea kusema tu hata watu wakinielewa vibaya ila huyu jamaa yake Bishanga ana roho kwa kweli ambayo sio nzuri kwa kitendo hicho
 
Bishanga kama kila mmoja kwenye ndoa akitekeleza majukumu yake ndoa zitakuwa nzuri sana
Ila tatizo kila mmoja anaficha makucha na anaficha madhaifu yake na vimeo vyake
matokeo yake vikifumuka ni issue kubwa sana
hiyo ndo hali halisi mazeee,ukiingia kwenye ndoa keep your eyes open,hususani hizi ndoa za dot.com,mnakutana runway,kitchen party kempinski,mkesha kunduchi beach,reception moven pick,fungate dubai,baada ya harusi mama anasema mimba isubiri kwanza anataka ku keep figure,ukienda jackies yeye unamsikia yuko nyumbani lounge,ukirudi nyumbani unamkuta kwenye laptop ukimuuliza msosi(kwanza hajui kupika kalelewa na ma housegirl all her life) anakwambia kwani hujala huko? hallo hallo.....
 
Kuepuka lawama mwambie mama am-convice mumewe waende wote kupima hapo kila siri itajulikana.
 
Leta mabusara yako huku bana achana na kwenda kuweka wauza sura wanaume wanavaa skin jeans (hivi nao wale tunawaita wanaume au wanaitwaje)
Mkuu huyu jamaa yake Bishanga kaniacha hoi aisee dah issue zingine ngumu aisee
 
Back
Top Bottom