Nafikiri Bishanga jamaa yako alifanya makosa sana kufanya vasectomy hata kama alikuwa anasema hataki kuzaa tena sababu siku zote unayowaza leo siyo utakayotenda kesho mambo yanabadilika halafu jamaa yako ameuchuna huyo jamaa yako namuona kama vile muuaji, halafu uko India mbona mbali sana wakati hata hapo South Africa wanafanya kuna rafiki yangu alifanya kule South Africa leo hii mtoto anauliza baba yake yuko wapi anashindwa amwambie nini
Bora umerudi maana jukwaa lilipiooza sana sana
Halafu ukome kwenda kwa watu